Una uhakika na unacho kinena? au wewe ni mmoja wa wahangaKwanini wanaume waki do na wapenzi ambao sio wake zao huwa wakakuwa na nguvu zaidii?
Una uhakika na unacho kinena? au wewe ni mmoja wa wahanga
Kumbe na chat na msaliti! Subiri yatakayo kukuta we jione mjanja tu dawa yako ipo kwenye mafiga mawiliNdio mm nina dem wangu siku natoka nae napiga nne nyumbani sijawahi kupiga 4
tatizo hujitokeza wanandoa wanapozoeana na mvutano wa kimapenzi baina yao kupungua. wa nje anapatikana kwa muda mchache, na chakula kinacholiwa kwa kificho huwa kitamu kuliko kinacholiwa kwa wazi!
Kwanini wanaume waki do na wapenzi ambao sio wake zao huwa wakakuwa na nguvu zaidii?
Kumbe na chat na msaliti! Subiri yatakayo kukuta we jione mjanja tu dawa yako ipo kwenye mafiga mawili
Ndio mm nina dem wangu siku natoka nae napiga nne nyumbani sijawahi kupiga 4
siku unatoka NAE? Sasa si uwe unatoka nae ili usitoke nje? Kibuyu cha maziwa lala!
tumetofautiana mkuu ,yaani mimi kwa wife ndiyo mwake mwake mpaka hata wazo la kutoka nje halijawahi kupita kichwani
tumetofautiana mkuu
,yaani mimi kwa wife ndiyo mwake mwake mpaka hata wazo la kutoka nje
halijawahi kupita kichwani
mkeo nae nje anaeza kuwa anapiga zaidi ya hizo!!!!
Sasa mkuu c unipe maujanja uliotumia
wanaume wote wangekua kama ww me ningeolewa hata kesho,tatizo asilimia kubwa c waaminifu
mkeo nae nje anaeza kuwa anapiga zaidi ya hizo!!!!