bulama JF-Expert Member Joined Dec 13, 2012 Posts 568 Reaction score 138 Dec 18, 2012 Thread starter #21 gollocko said: Utakapokua na 40 yy ana 24 hapo ndipo vijana wenzie watakapokumegea mpaka uchanganyikiwe Click to expand... Ni swali tu. Hivi hawa wote wanaochukuliwa wake walioa si umri wao au ni katabia ka m2?
gollocko said: Utakapokua na 40 yy ana 24 hapo ndipo vijana wenzie watakapokumegea mpaka uchanganyikiwe Click to expand... Ni swali tu. Hivi hawa wote wanaochukuliwa wake walioa si umri wao au ni katabia ka m2?
D DJ Imma JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 221 Reaction score 100 Dec 19, 2012 #22 kama wewe ni mwanaume inawezekana but kama ni mwanamke mmmmmmmmmmhhhh!!! ila nowdays watu wanacheza sana na maumbile kuliko miaka!!
kama wewe ni mwanaume inawezekana but kama ni mwanamke mmmmmmmmmmhhhh!!! ila nowdays watu wanacheza sana na maumbile kuliko miaka!!
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,037 Dec 19, 2012 #23 Inawekana kwa kuwa ww ni mme kwan ng'ombe hazeeki maini!! Angalizo usije kanyanyasa katoto ka watu kisa we mkubwa pili jitahid kuwa fit kimwil fanya mazoez na usijiachie na misos usije saidiwa kaz na vijana wa rika lake.
Inawekana kwa kuwa ww ni mme kwan ng'ombe hazeeki maini!! Angalizo usije kanyanyasa katoto ka watu kisa we mkubwa pili jitahid kuwa fit kimwil fanya mazoez na usijiachie na misos usije saidiwa kaz na vijana wa rika lake.