happy lusajo
New Member
- Oct 17, 2012
- 2
- 1
ASHA dii,happy anafunhga ndoa mwezi wa kumi na moja hebu msome vizuri tena!Kabla hatujaenda mbali Happy... Ni vigezo gani unatumia kusema ni mchumba? Alishakwambia kuwa mahusiano yenu ni uchumba ama tu ushiriki? ama ni wewe uliechukulia kuwa ni mchumba... Kama hutajali huo uchumba alitamka kabla ama baada ya nyie kukutana kimwili (for nachukulia kuwa tayari mshapita huko...)
Hii inaweza toa picha walau kama anakupotezea wakati ama ni phase tu anapita ijulikanayo kama 'rut stage'
mh!Jamani naombeni ushauli wenu , wanawake kwa wanaume, Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi na moja ktk mkoa wa Morogoro, sasa uyu mwanaume sasaiv amekuwa mkali kila nikimuuliza labda uko wap ananiambia kwan lazma nijue, akiwa na wenzie ananikatia cm anasema alikuwa anaongea na marafiki zake,amekuwa ni mtu w kufoka kila wkt,akinikosea hata msamaha aniombi, na ndio tunakalibia kufunga ndoa, nifanyeje wapendwa
ASHA dii,happy anafunhga ndoa mwezi wa kumi na moja hebu msome vizuri tena!
kha! pole sana happy ila inaonekana kabisa that guy arent ready for marriage kabisa. nasema hivyo kwa sababu ukiamua kuoa lazima ukubali freedom yako itapungua na mke ana kila haki ya kujua upo wapi na unfanya nini. this is just basic nashangaa sana wanaume wanamaindi mke/fiance/gf kuuliza upo wapi na unafanya nini
Jamani naombeni ushauli wenu , wanawake kwa wanaume, Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi na moja ktk mkoa wa Morogoro, sasa uyu mwanaume sasaiv amekuwa mkali kila nikimuuliza labda uko wap ananiambia kwan lazma nijue, akiwa na wenzie ananikatia cm anasema alikuwa anaongea na marafiki zake,amekuwa ni mtu w kufoka kila wkt,akinikosea hata msamaha aniombi, na ndio tunakalibia kufunga ndoa, nifanyeje wapendwa
Nawasalimia kwampigo wana JF.
Kuna matatizo mengi yamekuwa yakitokea katika uhusiano kati ya mme na mke.
Hii labda vijana wengi wa kiume wanakuwa hawajafundwa na kufundishwa jinsi ya kuishi na mwanamke.
Hapa hebu ngoja niwape baadhi ya nondo nilizopewa na babu yangu wakati wa kufundwa jinsi ya kuishi vizuri na mwanamke bila ugomvi.
Ndugu wana JF, kwanza kabisa unatakiwa utabue kuwa mwanamke sio kwaajiri ya mapenzi tu au kwaajiri ya kumpatia pesa tu. la la la la, kuna mambo mengine.
Kitu kikubwa kabisa mwanamke anataka kutoka kwa mwanaume ni kujihisi kuwa kuna mtu anamjari na anamlinda (care and protection)
1. Mwnamke anapenda kuona anasikilizwa na mwenzi wake.
2. Mwanamke anapenda kuona analindwa na mwenzi wake. Hili la kumlinda mwanamke ni pana kidogo. kwa mfano inatokea mwanamke wako amefanya kosa hadharani sio umdhalilishe ni heri umlinda mbele za watu na utamkosoa mkiwa wawili.
3. Kumpatia pesa mwanamke sio kigezo cha kwamba ninampa kila kitu. Wanawake wako kisaikolojia zaidi. Ongea na akili yake mara zote.
4. Mwanamke hapendi mwanamme mpoleeeeee. Kidogo mwanaume uwe mkorofi kiasi fulani.
5. Wanaume wengi wako after mapenzi , wanajitapa wanajua mapenzi ya kitandani. kwa mwanamke sio hivyo tu ni zaidi ya hapo. Mapenzi sawa lakini baada ya hapo mambo makuu ni care and protection
Asanten kwa Ushauli, nasema mchumba wangu ,kwanza ameshatoa mahali,na pili ndoa yetu ni tarehe 20 November natayali vikao vinakaliwa, Zamani ktk uchumba wetu alikuwa anapenda tuchati kila wkt kwa njia ya msg, na ukikaa kimya kidog anakuuliza mbona kimya unafanya nn,au akipiga sim ikiita mala mbili,na mimi nikija kupiga anaiacha kama vile makusudi mpk niangaike wee ndio anapokea, lkn saivi nikimpigia simu wkt mwingine inaita sana ,kama hata mala4 ,akija kupokea nikimuuliza mbona cm inaitasana anasema alikuwa na washkaj kunavitu walikuwa wakiongea, wkt uo mimi akinipigia cm labda bahat mbaya nilikuwa mbali nayo,anaanza kunigombeza ,na hata wkt mwingine akinipigia cm akikuta cm yangu inatumika anaanza kunifokea ulikuwa unaongea n nani wkt mimi nilikuwa napiga cm,nikimwambia labda nilikuwa naongea na rafik yangu anasema kwahiyo rfk yako bola kuliko mmi, wakati mimi nikimuuliza ivyo anajibu tu nilikuwa naongea na mtu asemi nani
Jamani naombeni ushauli wenu , wanawake kwa wanaume, Mimi nina mchumba wangu ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi na moja ktk mkoa wa Morogoro, sasa uyu mwanaume sasaiv amekuwa mkali kila nikimuuliza labda uko wap ananiambia kwan lazma nijue, akiwa na wenzie ananikatia cm anasema alikuwa anaongea na marafiki zake,amekuwa ni mtu w kufoka kila wkt,akinikosea hata msamaha aniombi, na ndio tunakalibia kufunga ndoa, nifanyeje wapendwa
Asanten kwa Ushauli, nasema mchumba wangu ,kwanza ameshatoa mahali,na pili ndoa yetu ni tarehe 20 November natayali vikao vinakaliwa, Zamani ktk uchumba wetu alikuwa anapenda tuchati kila wkt kwa njia ya msg, na ukikaa kimya kidog anakuuliza mbona kimya unafanya nn,au akipiga sim ikiita mala mbili,na mimi nikija kupiga anaiacha kama vile makusudi mpk niangaike wee ndio anapokea, lkn saivi nikimpigia simu wkt mwingine inaita sana ,kama hata mala4 ,akija kupokea nikimuuliza mbona cm inaitasana anasema alikuwa na washkaj kunavitu walikuwa wakiongea, wkt uo mimi akinipigia cm labda bahat mbaya nilikuwa mbali nayo,anaanza kunigombeza ,na hata wkt mwingine akinipigia cm akikuta cm yangu inatumika anaanza kunifokea ulikuwa unaongea n nani wkt mimi nilikuwa napiga cm,nikimwambia labda nilikuwa naongea na rafik yangu anasema kwahiyo rfk yako bola kuliko mmi, wakati mimi nikimuuliza ivyo anajibu tu nilikuwa naongea na mtu asemi nani
dalili ya mvua ni mawingu lol