Mapenzi yataniua

Bodi ya mikopo inakuona ujue! Unatuponza wenzio...
 
'Akili za kuambiwa changanya na za kwako' by JK, Chagua mojawapo kati ya haya:
1) Muambie ukweli, ni ngumu lakini ndio the best option, na uwe unatumia kinga
2) Sitisha uhusiano haraka sana, tafauta njia yoyote achana naye unakoelekea ni kubaya
3) Endelea naye huku ukisubiria KIMBEMBE kutoka kwake, mkeo, mama yako, wengineo.
 
Mnaishi Katika illusion, baada ya muda, penzi litàanza Kuwa la kawaida na kukinai, ni heri umweleze mapema ukweli wako kinagaubaga ili aamue kuendelea au kubwaga kabla hajapata mimba na kuja kukulaumu kwa kutomweleza ukweli mapema au kufikiria kujiua kama alivyodai.
Unaweza kuanza kwa kumwonyesha picha za mkeo na mtoto na akihoji uropoke tu bila kufikiria mara mbili, mengine yatajipanga mbeleni.
 
Dah!

Mnavyoandikaga hizi tungo zenu utadhani wote mlifundishwa na mwalimu mmoja.

'Mimi ni kijana wa miaka kadha wa kadha...kabila langu fulani...nasoma chuo hiki au kile'

Hizi elimu za mwendokasi hizi....majanga matupu!
Hujamsaidia kijana Nyani.ujana maji ya moto ndio maana wote wako hivyo.
 
Mkuu rudi ukachinjiwe mbuzi Moshi, kuna mila hujafanyiwa.
 
Tangu lini UDOM ikawa chuo maalufu/maarufu? Mapenzi gani hayo hata mtoto ulinaye ata nepi huwezi nunua? Kijana wewe bado mwepesi sana (1GB) kwenye mapenzi huwezi kudownload ata picha 2 kwenye whastp. Nakushauri usome achana na ubishoo
 
Bado unakua... Relax man..Umri wako nlikuwa form 4 miaka hyo..
 
Wakuu ile relation imeendelea hadi leo ila nimepitia mengi kwa kweli.... Soon nita update hii thread na kuwaelezeni kilichokuja kutokea
 
Wakuu ile relation imeendelea hadi leo ila nimepitia mengi kwa kweli.... Soon nita update hii thread na kuwaelezeni kilichokuja kutokea
Haaaaa kazi unayo wasalimie UDOM
 
Mangi daaah kweli upo chuo kikuu kweli nakushauri fanya ulicho enda fuata chuo young man

miss chagga njoo mfunde mdogo wako huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuandika kama upo darasa la tano andika machache yenye points

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…