Mapenzi yataniua

Siti Mtemvu (zee la kudanganya umri) usituletee story zako hapa miaka 20 upo chuo huku miaka ya nyuma ukiwa umeshawahi kufanya kazi (kuajiriwa)
Kiufupi Mwambie uyo Dada aendelee tu kushinda Chumbani kwako ila ATA DISCO na ubuyu uishie hapo, nenda katunge tena urudi.
 
ndefu mnoo any way ... mwambie ukweli kuwa una mtoto na mke kama akikuacha pouwa tu
Suala si ndefu tu Bali imenakshiwa na uongo wa wazi wazi haiitaji muda kung'amua kuwa huu utunzi umevuka mipaka
 
ha haha mi nimeruka nikasoma kwenye herufi kubwa tu.. nimeona anademu wa kihaya halafu anamke halafu hajamwambia
Hujaona kipengele cha ana miaka 20 alafu yuko chuo kikuu alafu alishawahi kufanyakazi miaka ya nyuma, huyu si mtanzania wa kawaida kwa kweli
 
Hujaona kipengele cha ana miaka 20 alafu yuko chuo kikuu alafu alishawahi kufanyakazi miaka ya nyuma, huyu si mtanzania wa kawaida kwa kweli
ha haha hicho sijakiona mkuu nimepita speed... basi ni mwongo sana bora sijasoma yote
 
ACHA UTOTO, ACHA KUCHANGANYA MAPENZI NA SHULE, Kama ungetumia muda kuandika business proposal ya ukubwa huuu nadhani Tanzania ya viwanda ingewezekana mapema sana na mngeacha kusema tunafundishwa theory hakuna practical skills
SIO MUDA WOTE PROPOSAL...ZINALETA STRESS UKIFANYA MUDA WOTE SO KIDOGO TUELIMIKE NA STORY KAMA HIZI
 
dah! bado nailalamikia government kwa kuninyima mkopo wao yani nimekosa kabisa pesa ya kuonga mademu apo UDSM but ngoja nipige vibarua tu.
Engineer to be
 
1. BOMU HILI
2. MAPENZI YA CHUO
3. HUWEZI KUACHA LKUGEGEDA KWA MAZINGIRA MLIYOKUWA MNAANGALIA MOVIE UNGETU DHALILISHA WANAUME
4. FANTASY LOVE HAPO
5. MWISHO WA SIKU UNAMUUMIZA MTOTO WA WATU ANPOTEZA DIRECTION
6. MWISHO UNAMJAZA MIMBA
7. UTAHARIBU SASA NA HOME HUKO
8. ITSS TOO LATE BUT NEVER TOO LATE ...BORA AJUE SASA INGALI MAPEMA
 
kweli kizazi chetu wachagga kinaisha slowly slowly......dogo soma mwanao anakusubiri nyumbani....
 
Mkuu hii story sio ya kutunga kama huniamini nifate pm nitakupa mpka namba angu....tuwasiliane kama upo karibu na hapa chuoni tuonane ana kwa ana....naheshimu sana jamii forums siwezi na wala sina tabia ya kukopi story uchwara ili nishauriwe sina huo utamaduni kabisa na wala sintokaa nifanye hvyo maisha yangu yote
 

Mkuu hii story sio ya kutunga kama huniamini nifate pm nitakupa mpka namba angu....tuwasiliane kama upo karibu na hapa chuoni tuonane ana kwa ana....naheshimu sana jamii forums siwezi na wala sina tabia ya kukopi story uchwara ili nishauriwe sina huo utamaduni kabisa na wala sintokaa nifanye hvyo maisha yangu yote....alfu tu nikuambie mkuu yote hayo yanawezekana vyema tu nilimpa mimba binti mwezi wa kumi mwaka jana,,nimemaliza form six mwaka huu kwa kipindi nilichokuwa nasubiria matokeo nilikuwa nimejiinga katika hiyo biashara...na kwa taarifa yako tu kazi yenyewe nilikuwa kila nafunga hesabu ya zaidi ya usd 20000 Kwa kipindi chote nilipokuwa hapo ofisini........nilijiapiza kabisa iwapo ningekosa mkopo ningeendelea na kazi hiyo mpka mwakan ndo ningeendelea na masomo........nimeiacha kwa vile sio kazi ya kuaminika sana hasa hasa kipindi hchi cha maghufuli kutokana huwa napata faida zaidi ikitegemea ubora wa thamani ya tanzania vs USD.
 
Mkuu kipi unakataa sasa kwa taarifa yako tu asilimia 95 ya wanafunzi walioko hapa chuoni wamezaliwa 1996 nikiwemo mimi....nenda kaulizie NHIF NA NSSF coz wao ndo waliotungenezea bima zao...kama huniamini... Kuhusu kuajiriwa ni mtazamo wako tu mimi nimeanza kujihusisha na biasha tangu niko darasa la nne.nilikuwa natoka shuleni naokota maparachichi naenda kuyauza shule ya jirani kwa wanafunzi wa bording...nilipoingia o level nilikuwa napiga biashara ya kuchajisha simu za A LEVEL kila simu mia mbili.Nilivyoingia A LEVEL nkawa nafanya biashara ya kuuza smartphone na scientific calculator nilikuwa naznunua kwa Nairobi nkuja kuziuza skul....kwa waliosoma na mimi wanaelewa kabisa...kwa vile ilikuwa naonekana shuleni kwa mwezi wiki ambayo ninasambaza mzigo mpya tu ikiisha nasepa tena.....kwa miaka yoteya advance level ndo ilikuwa biashara yangu ....na ilinitengenezea trust kwa watu wakubwa......kwa hiyo nilivyomaliza form six moja ya ma boss wangu akanipa kibarua katika ofisi ake kwa kuwa nilimwonyesha kuwa naweza kazi na nina experience ya kazi toka damuni......kwa kipindi kifupi tu nilichofanya naye kazi nimemthibitishia hilo.......amini usiamini kwa wiki sijawahi funga hesabu ambayo ni chini ya usd 20000.............nikuambie tu ukweli UMELELEWA KATIKA MAZINGIRA AMBAYO UNAAMINI KUWA HUWEZI JISHUGHULISHA CHINI YA MIAKA 20 ILA MIMI NIMEFANYA NA NNA UHAKIKA SINTOFIKISHA MIAKA 29 BILA TOYOTA V8....NIPO HAPA CHUONI NA BADO NAENDELEA NA BIASHARA HII HIYO NDO VISION YANGU.......UKWELI WA MUNGU NASHANGAA SANA NINAVYOSIKIA KUWA TANZANIA LIFE NI GUMU .....ukiwazacho ndo unachokiishi
 
Sawa nduguye Miss Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…