MAPENZI yasababisha kifo

Naheshimu sana hisia za wengine sababu naamini tumeumbwa tofauti... mm nna moyo mgumu lakini mwengne ana moyo dhaifu... maumivu ya kihisia ni makali kuliko kidonda... mpaka mtu ajiue she was real deep.. pole kwa mtoto
 
Najua mapenzi yanauma ila kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanajitoa uhai kwa ajili ya maumivu.

Hapana usishangae,watu wanatofautiana wengine wana vifua vipana wanauwezo wa kuhimili mambo ila wengine wana vifua vidogo na matokeo yake ndio hayo
 

Bora umenisaidia kumjibu,nilikwa nawaza namna ya kumjibu
 

roho ya kujitoa uhai ishaingia kwenye familia,huyo dada kaingiza gundu kwenye familia.iko siku kama si mwanawe,basi mjukuu wake au hata kitukuu kitajitoa uhai.histroy repeats itself.n'way rip dada but ulichokifanya ni ujinga mara elf moja
 
Uuuuuuuwi!! Marehemu amefika mbali sana, angesamehe tu kwa sababu malipo ni hapahapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…