from messages of my phone
" mida mida tu kuna mdada hapa jirani kafa kanywa sumu, kafunga harusi mwaka Jana mwezi wa saba na ameacha mtoto mdogo sana, haya yote yanasabishwa mapenzi."
taarifa zimeeleza huyo mwanamke kasalitiwa na mume wake na akaamua kujiua mapema leo huko ARACHUGA.
nyinyi wazee wa michepuko punguzeni kama siyo kuacha, sasa huyu mtoto mdogo atakikua atakuwa anamuonaje baba yake akijua usaliti wa baba yake ndio ulipelekea kifo cha mama yake?
inauma sana japo simfahamu aliyefariki.
Hapa ndipo ninaposema Mapenzikazi kweli hasa ukimpenda mtu ki ukweli kabisa alafu akufanyie mambo kama hayo lazima unachukua hatua kali Pole yake huruma yangu ni kwa mtoto.
Najua mapenzi yanauma ila kwa kweli huwa nawashangaa sana watu wanajitoa uhai kwa ajili ya maumivu.
elewa mada kabla ya kuamua ujibu nini? hapa nimeripoti tukio, na nimeongelea watu watatu tu hapaa, mwanamke(aliyekunywa sumu),mwanaume(aliyesaliti) na mtoto(aliyefiwa mama yake akiwa mdogo sana kisa usaliti wa baba yake)Wanaume wangapi wanajiua au kufa kabla ya wakati wao kisa mbunye mbona hausikitiki hivyo.
Au ndiyo kunya anye kuku bata.....
Wanaume wangapi wanajiua au kufa kabla ya wakati wao kisa mbunye mbona hausikitiki hivyo.
Au ndiyo kunya anye kuku bata.....