Mapenzi yanayo pendezesha mwili

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,242
Reaction score
55,820
Wapo wanaoingia kwenye mahusiano na kuambulia kukongoroka mwili, mwili kupungua na kupoteza nuru.

Na wapo wanaoingia kwenye mahusiano na mtu fulani, na kujikuta mwili unaongezeka na kuwa na mvuto mzuri.

Sasa utajuaje, mpenzi uliyenaye anaweza kuufanya mwili wako unenepe na kuonekana mzuri?

Utamtambua kwenye shoo:-​
  • Mkiwa kwenye shoo, lazima mtoke jasho iwe wewe au yeye.​
  • Pia kwenye shoo, lazima mmoja akimbie na kuacha shoo kutokana na kuishiwa nguvu na kuhema juu.​
Kama umepitia hayo, mshikilie huyo huyo kwa afya ya mwili wako.​
 
Awww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…