Mapenzi yanaumiza

Asante hujatimiza ile azma yako mbaya...

Mahusiano ndivo yalivyo,usivunjike moyo
 
polesana kisura
usinichekeshe ati, unataka kupoteza uhai ambao hamna mwingine anagawa zaidi ya Mungu kisa mwanaume?
mimi nimekaa kwenye mahusiano miaka 8 na nikamuacha kwasababu ya hayo hayo unayolalamika masamakwetu mbona sijafa? na maisha yanaenda vizuri kuliko alivyokuwepo!

acha ujinga, wanaume wapo tu fanya mambo yako mpaka utakapoitwa na Muumba unajipeleka kwani umeitwa?

ila ukienda kwa Baba Msalimie Yesu na Mungu na Roho Mtakatifu, waambie Money Penny anaandika stori mpya inaitwa ****! wanirushie ma-idea!
 
Pole sana
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…