Mapenzi yanauma

😂😂😂Ila nainjoi na comments za huu Uzi Jamani.. ahsante kwa tag bana🤗
Ha haaa,usihame kigenge tafadhali....tupo kufurahisha hapa.Maunda Zoro alijua Leo ataiona ivo tafadhali jitengenezee furaha wakati huu ulionao cute
 
Ha haaa,usihame kigenge tafadhali....tupo kufurahisha hapa.Maunda Zoro alijua Leo ataiona ivo tafadhali jitengenezee furaha wakati huu ulionao cute
Sihami nipo nimeweka kambi na tent langu pembeni..Kwakweli tufurahi tu..dunia yenyewe yetu Sasa!!!...hakika umenena vyema mdada mzuri mzuri..
 
Sikumtongoza kwa sababu alisema nimtongoze ndo nikamtongoza,,,mie bado nimeshikilia mstari huuu
 
Achana naye huyo kibweka stick na jimama
 
Nasikitika kukuambia ndugu mwandishi kua, wewe bado ni mdogo hujakua bado.
 
Loweka rungu pita kushoto
Ujawa hela upendwe na kila mtu
Nadhan tumeelewana
 
Mleta mada kuwa serious Basi!unaposema mapenzi yanauma hivi umewahi kujigonga kale kakidole kamguuni kamwisho kwenye meza au kitanda!?Kuna vitu vinauma bwana
 
Me ndio maana naona bora niwe sister nimtumikie Mungu wangu
 
 
Hata hivyo bado hujakua
 
Endelea kulia
 
what goes around comes around
 
Hayo mapenzi yana uma sehemu gani?Tafuta pain killers mzee acha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…