Mapenzi yanauma

...Utoto Raha Sana! Hata story haileweki!...!
 
Mambo madogo tu hayo, bora hajakuambia na umejua basi jitengenezee mazingira ya kutokuumia, ukijiendekeza utakuja kufuta na kamasi hapa mkuu

Kingine swala la kurudishiwa gharama ni uzembe mkuu, mbona watu wanahongana magari na mijengo na wanaachana tu bila shida, wewe pesa kidogo tu urudishiwe??? Kwani ilikua ni mahari??? Ata kama ni magari enyewe ukiamua kumtema mtu tema kila kitu mkuu, inaelekea uliwatesa sana wenzio utoto wako kitu kidogo tu utasikia NILIPE VITU VYANGU
 
Eeeh akurudishie tena gharama zako


Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wewe bado ni mtoto subiri kwanza ukue mapenzi waachie watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…