Mapenzi yanauma sana ndugu zangu, kamwe usimcheke mtu kama bado hayajakukuta

Mkuu ushawahi kunyofolewa ukucha wa kidole kikubwa cha mguuni? Unayafahamu maumivu yake? Utagundua hayo maumivu unayo yasema ya mapenzi si kitu.
Enzi zetu tulikuwa tunacheza mpira mtaani,barabara ya lami. Kung'oa kucha ya mguu kwa kupiga jiwe badala ya mpira ilikuwa ni kawaida sana, unafunga plaster unaendelea kucheza mpira. Au unaweka mchanga kwenye kidonda. Usifananishe maumivu ya HISIA na maumivu physical ambayo ukinywa panadol yanapoa! Maumivu ya hisia yanaweza kukupa magonjwa yasiyoambukiza na yasiyotibika ukafa kabla ya siku zako au ukaua wengine.
 

Umeelezea vyema sana kijana, nimependa maelezo yako
 
Mimi kila siku tumbo langu linaunguruma na kwa mawazo yaani acha tu jana nilimchukia wangu kwa mambo yasioniridhisha na namfahamisha sana lakini baada ya siku chache anarejea tena Yale Yale.
 
Mimi kila siku tumbo langu linaunguruma na kwa mawazo yaani acha tu jana nilimchukia wangu kwa mambo yasioniridhisha na namfahamisha sana lakini baada ya siku chache anarejea tena Yale Yale.
Una dalili za kupata vidonda vya tumbo kwasababu ya mawazo
 
Mimi kila siku tumbo langu linaunguruma na kwa mawazo yaani acha tu jana nilimchukia wangu kwa mambo yasioniridhisha na namfahamisha sana lakini baada ya siku chache anarejea tena Yale Yale.

Kaka nakupata sana, mawazo hayaishi, vidonda vya tumbo, stress za mwanamke zitakumalizaa
 
Daah ninyi so ndio huwa mnasema hamuumii? Mwanamke akikupiga kibuti unashangilia maana amekupa nafasi ya kuchukua kitu kipya. Nikikupa pole itakuwa ya kinafiki wacha tu niishie hapo
Mara nyingi ukiona mtu anatamka hivyo ujue yalishamkuta akanyooka hivyo hajali tena. Tena hawa wenzetu huwa nahisi wanaumia zaidi.

Kuna kaka yeye hata haikuwa mwanamke wake wa kwanza, ila ni mwanamke aliyekuwa ana expectations kubwa nae. Akamtambulisha hadi kwao kumbe bibie anapita njia tu. Sasa ikatokea bibie anataka kuolewa ila anashindwa jinsi ya kumwambia jamaa, ikabidi ajilipue tu kubadili namba na kutokuwa na mawasiliano. Jamaa akahangaika sanaa baadae ndio mashost wanamwambia bibie anaolewa. Hakuamini hadi alivyoona picha za harusi, alizimia na kulazwa juu. Alikondaaaa, ikabidi kazini apewe likizo kwanza akajiweke sawa.

Sasa hivi ni bonge la player hata hajali tena na anasema hana mpango wa kuoa.
 
Mkwe kwahiyo binti yangu umempangaπŸ™†πŸ™†πŸ™†
Nimeghairi.
 
Hahaha bado mpo eee???


***** subiri unyooshwe kwanza
.

Wenzako wana invest kwenye mashamba yakorosho,mitiki wewe unainvest kwenye mapenzi
 
Same applied to men, hutakiwi kujiweka hadi akuone kuwa kwake haupumui wala hauhemi. Hamna rangi utaacha ona.

Ila daaah tumeyafanya mapenzi yamekuwa kitu cha ajabu, full kuviziana tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha bado mpo eee???


***** subiri unyooshwe kwanza
.

Wenzako wana invest kwenye mashamba yakorosho,mitiki wewe unainvest kwenye mapenzi

Yaani niwe na mwanamke wa malengo nae ambae ni mama wa watoto wangu nisiinvest kwake kwa kua naogopa kusemwa? Haipo hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…