under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 36
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni
Saa saba na nusu upo sebuleni? Tena unachart
Mungu hapendi
kutengana.....save ndoa yako ili watoto wako wapate mapenzi yote ya baba
na mama,afu kitu kingine huo ni upepo utapita tuu.....unapoona watu
wamekaa miaka 20,katika ndoa usifikiri waliishi maisha ya tamthilia za
Star TV,sawa kijana?
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni
tafuta wazee wawaweke kikao kila moja atoe dukuduku lake
Hujatueleza kiini cha tatizo hapo hata kukushauri inakuwa ngumu, jiulize kama wewe ulimkosea mwombe msamaha yaishe kama yeye anamakosa kamshitaki kwa wazazi wake watasuluhisha.
Hebu wapumzisheni wastaafu watumie muda wao kwa ibada,kupumzika na mazoezi!!!!!!
Yaani jambo kama hili la "uhuru" wa mke na mume wanashindwa kujadiliana????!!!!
Watalea watoto hao kweli na changamoto hizi??????!!!!!
Ndoa za dot.com wanaoana bila kuchunguzana vya kutosha baada ya siku kila mtu anaanza kutapatapa mi nataka hiki au kile bila kujali kuna watoto
itabidi wazee wahusike kwa faida ya hao watoto