under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 36
Nimeandika ujumbe huu nipo sebuleni nna mawazo yasiyoelezeka in short nataka nitengane na mke wangu niliyezaa nae watoto wawili na sababu ni kwamba anataka uhuru kwamba mimi nambana wana jf wote mnaojua id yangu na msiyoijua naombeni mnisaidie kimawazo nimeshindwa kuandika kwa kirefu sababu nina msongo sana wa mawazo jamani naomba mnishauri hata namba naandika ni 0686 100071 pls pls nisaidieni nipo njia panda moja mbaya sana nisaidieni