Mapenzi yanauma jamaniii

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bora hata angeonjeshwa hata mara moja ili angalau abaki na faraja ya kuonjeshwa πŸ˜‚
Yeye hakuna alichopewa zaidi ya block😭
Kuna mwaka flani niliachwa na kutiwa block. Nikawa nasajiri laini mpya hata 5 kwa siku..yaan akiblock naenda kwa wakala mwingine nasajiri nyingine nampigia..akisikia sauti yangu anatia block na mm siachi nabadirisha wakala wa kusajiri, nasajiri nyingine. Hivyohivyo mpaka pale moyo ulivyochoka na maumivu na manyanyaso ndo nikakubali na kuamini kwamba kweli sihitajiki tena. Nikaacha kusajiri line za simu na kuendelea na maisha mengine. Kuachwa na kutiwa block kunaumaπŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ulikuwa unampa ya kazi gani sasa, baadala ya kusaidia wazazi wako, umekomaa na mang'amung'amu.
 
Kuna wakati moyo unamfanya mtu afanye maamuzi ya ajabu sana

Lakini cha kushukuru ni tuna-move on na maumivu huwa yanapungua

Sijawahi kuexperience block hata mara moja,nadhani ni maumivu ikitokea hivyo siku
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bora hata angeonjeshwa hata mara moja ili angalau abaki na faraja ya kuonjeshwa πŸ˜‚
Yeye hakuna alichopewa zaidi ya block😭
🀣🀣 aende mombasa akajaribu bahati yake
 
Kuna wakati moyo unamfanya mtu afanye maamuzi ya ajabu sana

Lakini cha kushukuru ni tuna-move on na maumivu huwa yanapungua

Sijawahi kuexperience block hata mara moja,nadhani ni maumivu ikitokea hivyo siku
Wanawake ni mara chache sana kupata block kutoka kwa wanaume. Wanawake ndo vinara wakulima block masela so yawezekana usijekuipata ila wewe ukamlima mchizi block.Kwenu ni kawaida na nahisi inasababushwa na ung'ang'aniaji wa sisi wanaume ni kama huwa hatuamini tumeachwa au labda tukibembeleza mwanamke atarudi kumbe mwenzio kaamua na anaona kero unavyojipigisha simu kulialia. Anakutia block tu kuepusha usumbufu.😁
 
Nauza kamba mkuu, haziumizi shingo
 
Kinachonifanya nifike level ya kublock mtu ni tusi tu basi
Ukinitukana ndo imeenda hiyo
 
Sasa sisi tukusaidie lipi
Unamtaka huyo kimoodo?
Unataka kujiua?
Unataka asiolewe?
Unataka huduma ulizitoa zi rudi?
Nb: Hili la kujiua liko ndani ya uwezo wako,kuna njia ya moto, kujinyonga au kujirusha ghorofani kila la kheri katika maamuzi yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…