Muendesha katapila
Member
- Jun 16, 2026
- 23
- 48
- Thread starter
-
- #21
Kwa ujinga gani?mkuu sema ujawahi kupendaa, ujawahi kuhonga million 3 kwa mkupuo,Bado ujaiva kwenye mapenziKufa Hata Sasa Hivi, Tanzania Ina Watu Wengi
Huu Ujinga Ujinga Ndiyo Utangaze Kufa
Hapana dada kinachoniuma,huyo bwana ake mkoani ananizidi nini,huku kazini nalipwa 6 million kwa mwezi,ila namini atarudi acha akajufunzeKinachokuuma hapo ni hujawahi kupewa mzigo na ile idea kwamba anaenda kupewa jamaa mwingine
Pole
Sawa anko fanya mpango kama ukweli,mie jumamosi Kuna shoo ntapiga diesel hapa Kazini utakula posho ya maana, nisaidie naumiaHiyo namba naifahamu, ngoja niongee nae huyo Khadija modo anieleze kwanini akufanyie mtima nyongo.
Sawa anko nimekuelewa sana,ila kusema Mimi nilikuwa natoa vijisenti hiyo dharau sana Mimi siyo wa vijisenti mie nalipwa mil 6 kwa mwezi na posho ya kila km Moja ya Barbara nalipwa laki nne hiyo nje ya mshahara,demu wangu Khadija nilikuwa nampa ml 3 kila mwezi,kwa hiyo bro tueshimianeDogo ndio umejifunza kwa vitendo, hudumia yako ni fwaken tu...acheni shobo madogo!!!
Vijisenti vyako hivyo kwanini usidundulize ukaenda nunua hata kiwanja vikindu au shamba kibiti.Vijana wapumbavu kama wewe hamna faida kajiue tu!!!
Next time unajua cha kufanya bwana mdogo. Umekaribishwa kwenye real life kibingwa jipige kifuani sema HUTAIANGUSHA TENA MIZIMU YA KWENU,MAANA ILIKUWA IMEKASIRIKA VIBAYA MNO KWA UFALA WA KUHUDIMIA CHUPI AMBAYO HUIKULI.
Mapenzi ni GAME YA KUVIZIANA.UMEVIZIWA UMEBAMIZWA JIPANGE UPYA NA WEWE TAFUTA KIBONDE MBONYEZE.ACHA KUTIA HURUMA KIZEMBE!!!
Tatizo moyoUlimpendea nini?
Kuwa na mtu mkuu.Kufa Hata Sasa Hivi, Tanzania Ina Watu Wengi
Huu Ujinga Ujinga Ndiyo Utangaze Kufa
Anaenda kufanywa vile ambavyo muendesha skaveta hamfanyagiπ€£Kinachokuuma hapo ni hujawahi kupewa mzigo na ile idea kwamba anaenda kupewa jamaa mwingine
Pole
Bwana mdogo unalipwa 6 figures alafu unadate madem wachafuwachafu we kweli famba.
Unamshahara mnono alafu mdomo mzito mwenetuπ€£π€£π€£π€£we kakojoe ulale.Gademit!!!
Kama unalipwa hivyo anayekulipa hajielewi!!!
Mimi msukuma ntuzu ili mama mzanzibar
Si Vibaya Na Kama Hutojali..Embu Tueleze Kabila Lako...??
ππππ mule muleKinachokuuma hapo ni hujawahi kupewa mzigo na ile idea kwamba anaenda kupewa jamaa mwingine
Pole
Sasa angeishije na upwiruππkuwaambia wenzio wa moveon ni rahisi mpka utakapo fikiwa na wew π ,,,
pole sana kwani ulitumwa
Hongera mkuu shetani akupokee kwa amani kabisa tumia kamba za waya zikate kabisa na hio shingoo maana mama ako bora angekunywa P2Wazee inakuejee mabibi inakueje,
Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi
Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipaπππ
Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
May be in the next life.Nenda kajimalize kabisa tuone kama ndo utampata