Mapenzi yananiumiza, naombeni ushauri wenu.

Q.L

Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
57
Reaction score
10
Naombeni ushauri wenu juu ya haya mapenzi, nina mpenzi wangu tunaeishi nae mkoa mmoja ktk kanda ya kati, ananipenda sana na huwa msaada wangu mkubwa ktk haya maisha, ila tatzo lake tayar ana mtoto na pia huwa anapenda sana tushiriki tendo la ndoa wakati wazazi na hata kanisa hawajui mahusiano yetu na pia wala haogopi hatari ya kupata mtoto mwingine, Lakini kabla ya kuwa nae, nilimpenda sana na pia bado na mpenda kijana mmoja ambaye nilikutana nae katika kanda i ya kati na tukawa marafiki sana, ambaye kwa sasa yupo katika kanda ya kusini, siku moja nilivunja ukimya na kumueleza yangu ya moyoni, alikubaliana nami katika hilo na akasema amependezwa nalo, kijana uyu anampenda Mungu sana pia hajawai kuniambia jambo lolote kuhusiana na sex, ila mawasiliano yetu tangu akiwa ukanda u ata alipo kwenda uko kusini ni ya kubabaisha, ni mpaka mimi nimtafute bila sivyo anitafuti ata wiki au mwezi uishe, JAMANI NISHAURINI NIFANYEJE, NIMPENDE NANI KATI YA AWA??
 
sasa tukushauri kwa huyo wa kwanza au wa pili?
 
Wewe ni msichana au mvulana? na kwanini mmeamua kupiga kavukavu
 
Dah hatare, huku wapigwa mzigo na wa shetani huku wamsikilizia wa Mungu.

Huoni kuwa hata wewe hujitambui? Jitambue kwanza.
 
jitazame mwenyewee na kuangalia wapi akili na moyo wako unadondokea:A S angel:
 
Naombeni ushauri wenu juu ya haya mapenzi, nina mpenzi wangu tunaeishi nae mkoa mmoja ktk kanda ya kati, ananipenda sana na huwa msaada wangu mkubwa ktk haya maisha, ila tatzo lake tayar ana mtoto na pia huwa anapenda sana tushiriki tendo la ndoa wakati wazazi na hata kanisa hawajui mahusiano yetu na pia wala haogopi hatari ya kupata mtoto mwingine, Lakini kabla ya kuwa nae, nilimpenda sana na pia bado na mpenda kijana mmoja ambaye nilikutana nae katika kanda i ya kati na tukawa marafiki sana, ambaye kwa sasa yupo katika kanda ya kusini, siku moja nilivunja ukimya na kumueleza yangu ya moyoni, alikubaliana nami katika hilo na akasema amependezwa nalo, kijana uyu anampenda Mungu sana pia hajawai kuniambia jambo lolote kuhusiana na sex, ila mawasiliano yetu tangu akiwa ukanda u ata alipo kwenda uko kusini ni ya kubabaisha, ni mpaka mimi nimtafute bila sivyo anitafuti ata wiki au mwezi uishe, JAMANI NISHAURINI NIFANYEJE, NIMPENDE NANI KATI YA AWA??

Naona tatizo ni kwamba mpenzi wako ana mtoto hicho ndicho kikwazo kikubwa, wahenga walipata kunena ukipenda boga penda na ua lake, vinginevyo mpige chini kama nafsi haitaki.
 
follow ur heart but just don't leave ur head behind..
 
Hujitambui alafu hauna msimamo katika mambo yako alafu unapenda kukata tamaa ktk maisha. Jitambue kwanza na kajali hisia za anaekupenda kuliko kutafuta mwingine wakati kila mtu ana matatizo yake. Hv umewahi kujiuliza ni kwa kiasi gani huyo mwanaume anavumilia mapunufu yako? Mpende akupendae huko unakojipeleka kutakuumiza bure, ni bora ukakaa chini na hy wa kwanza mkaelewana maana sex sio lazima japo yaweza kua kiungo kikubwa ktk mapenzi.
 
naombeni ushauri wenu juu ya haya mapenzi, nina mpenzi wangu tunaeishi nae mkoa mmoja ktk kanda ya kati, ananipenda sana na huwa msaada wangu mkubwa ktk haya maisha, ila tatzo lake tayar ana mtoto na pia huwa anapenda sana tushiriki tendo la ndoa wakati wazazi na hata kanisa hawajui mahusiano yetu na pia wala haogopi hatari ya kupata mtoto mwingine, lakini kabla ya kuwa nae, nilimpenda sana na pia bado na mpenda kijana mmoja ambaye nilikutana nae katika kanda i ya kati na tukawa marafiki sana, ambaye kwa sasa yupo katika kanda ya kusini, siku moja nilivunja ukimya na kumueleza yangu ya moyoni, alikubaliana nami katika hilo na akasema amependezwa nalo, kijana uyu anampenda mungu sana pia hajawai kuniambia jambo lolote kuhusiana na sex, ila mawasiliano yetu tangu akiwa ukanda u ata alipo kwenda uko kusini ni ya kubabaisha, ni mpaka mimi nimtafute bila sivyo anitafuti ata wiki au mwezi uishe, jamani nishaurini nifanyeje, nimpende nani kati ya awa??

kwa sababu unatenda dhambi nayo itaendelea kukutesa mpaka utakapotubu kwa njia ya toba. Mwishowe utaondoka na kilo 2
 
mwenye mtoto ndo mpnz wa kwei huyu unayeanza ww kumtafuta achana nae hakufai
 
Naombeni ushauri wenu juu ya haya mapenzi, nina mpenzi wangu tunaeishi nae mkoa mmoja ktk kanda ya kati, ananipenda sana na huwa msaada wangu mkubwa ktk haya maisha, ila tatzo lake tayar ana mtoto na pia huwa anapenda sana tushiriki tendo la ndoa wakati wazazi na hata kanisa hawajui mahusiano yetu na pia wala haogopi hatari ya kupata mtoto mwingine, Lakini kabla ya kuwa nae, nilimpenda sana na pia bado na mpenda kijana mmoja ambaye nilikutana nae katika kanda i ya kati na tukawa marafiki sana, ambaye kwa sasa yupo katika kanda ya kusini, siku moja nilivunja ukimya na kumueleza yangu ya moyoni, alikubaliana nami katika hilo na akasema amependezwa nalo, kijana uyu anampenda Mungu sana pia hajawai kuniambia jambo lolote kuhusiana na sex, ila mawasiliano yetu tangu akiwa ukanda u ata alipo kwenda uko kusini ni ya kubabaisha, ni mpaka mimi nimtafute bila sivyo anitafuti ata wiki au mwezi uishe, JAMANI NISHAURINI NIFANYEJE, NIMPENDE NANI KATI YA AWA??

Una mbwe mbwe wewe...wa kwanza unampenda, lakini unalalamika anapenda sex kabla ya ndoa au kujitambulisha kwa wazazi...wa pili unampenda, na wala hajakuulizia kuhusu sex! Bado unakuja hapa unaulizia umpende nani!? hujui unataka nini!?
 
::
Waache wote kama kweli Moyo wako umeshindwa kujua unampenda nani zaidi.
=
 
Humpendi mtoto wa mwenzio! basi humpendi huyo kaka, coz ungekuwa unampenda usingewaza habari ya mtoto maybe hilo la kupenda sex, why msijitambulishe kwa wazazi then mkaoana? Huyo wapili unajifanya unampenda mmmh! nina wasiwasi utapoteza muda bure ukizingatia yuko kanda ya kusini na wewe kanda ya kati
 
mwenzetu kwani una mioyo miwili??
jibu ni hapana!that mins yupo unaempenda
zaidi,huyo ndio wa kwako!gud luck!!!

Back
Top Bottom