Long'ututi
Member
- Dec 5, 2010
- 41
- 4
Mhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!Oa wote wawili
tafsiri ya ndoa ni kubwa kuliko harusi
mpaka hapo wewe una wake wawili
na hata ukimuoa huyo wa pete,na huku unamtunza
aliekuzalia mtoto,itakuwa sawa na kuwa na wake wawili...
Sio watu wote wanaoitwa mke na mume
wamefunga ndoa kanisani
mambo ya jadi tena? And u still wanna keep being involved? Kweli ndo maana ww ni ww na mm ni mie!
nimekuelewa ndugu yangu. Ila kuwa na wake wawili tena kisheria kiukweli siwezi,niliteleza tu ndugu yangu.Oa wote wawilitafsiri ya ndoa ni kubwa kuliko harusimpaka hapo wewe una wake wawilina hata ukimuoa huyo wa pete,na huku unamtunzaaliekuzalia mtoto,itakuwa sawa na kuwa na wake wawili...Sio watu wote wanaoitwa mke na mumewamefunga ndoa kanisani
nashukuru sana ndugu yangu,matunzo mpaka sasa napeleka,ila kwa siri kwani kati yao hakuna aneyejua kipato changu halisi kwa mwezi,namudu gharama ila niliyemvisha pete yeye hataki nipeleke matumizi kwa mtoto ila in future yupo tayari kuishi na huyo mtoto bila kipingamizi chochote.Pole sana. Mimi ushauri wangu umuoe yule ambaye unampenda. Kama unayempenda zaidi ni huyo uliyemvisha pete basi umchukue mtoto ili umlee wewe na mke mtarajiwa kama yupo tayari kumlea huyo mtoto bila pingamizi lolote. Kama mwenye mtoto hataki basi uwe una peleka pesa za matunzo na pia kumchukua mtoto kwa siku chache kila wiki ili nawe umlee tangu akiwa mdogo hata kama ni kwa hizo siku chache kila wiki.
nashukuru Shantel,sasa kwenye nguvu za jadi ndio sijui itakuwaaje. Mimi siamini mambo hayo ila wao wanaamini na wanataka wadhuriane wao kwa wao,nimejaribu kuwasihi wasifanye hivyo ila kila mmoja anaapa kumwendea mwenzie kwa waganga kama nikionesha upendeleo kwa yoyote. Kati yetu watatu kila mtu anaishi kwake ila kila mmoja kati yao wawili kaweka wapambe wa kutoa taarifa kama nimekwenda nyumbani kwa mmojawapo na tifu linafumuka hapo.Kufa hufi ila cha moto utakiona, angalia moyo wako ndugu, huna haja ya kuoa sababu ya kumuonea mtu yeyote huruma, ila jiulize sana sana kama unampenda mpenzi wako wa sasa, huwezi jua nae labda ulimpenda kuwa nae baada ya huyo mwingine kuwa tu mjamzito.... uamuzi ni wako, fanya haraka kabla hujachelewa, mtoto unaweza mpa matunzo mazuri tu akiwa hata kwa mama yake
nifanyeje king'asti?mambo ya jadi tena? and u still wanna keep being involved? kweli ndo maana ww ni ww na mm ni mie!
duh,ni kweli nimefanya makosa,nashukuru kwa wazo pia ndugu yangu.mzee itabidi uwaoe wote ili ujue ulifanya makosa..
nimekuelewa ndugu yangu,mimi mwenyewe najuta ndio nikaona niombe ushauri kwenu ndugu zangu. Kuoa wote siwezi na kwa sasa nipo nao kwa kuwa sijapata suluhisho la kudumu,mawazo ya wadau nayoyapata nayachuja ili niyafanyie kazi.umekoroga mwenyewe kunywa, kwanini lakini eti humpendi huyo uliyempa mimba na hapo nikisoma vizuri inaonyesha hao watu wote umekuwa na uhusiano noa within one year,just image ni maumivu ya kiasi gani umemsababishia huyo dada mjamzito na ni jinsi gani unavyo utesa moyo wa uliyemvisha pete?umefanya jambo lisilojema hata kidogo ,hakuna mwanamke anayependa kuzaa bila kuishi na family together(baba na mtotowe)Mie hata sikuonei huruma wacha wote wakunganganie ili wengine wajifunze matumizi ya kinga kama huna malengo ya kuzaa.
nimekuelewa ndugu yangu. Ila kuwa na wake wawili tena kisheria kiukweli siwezi,niliteleza tu ndugu yangu.
Tupo pamoja ndugu zangu,mpaka sasa hakuna ninayeishi naye,kila mtu kwake,na wote wanataka ndoa na mimi niende kwao kujitambulisha rasmi. Kiukweli mawazo yananitesa mpaka naota ndoto mbaya,wazazi wangu hawanielewi kwasababu tangu mtoto nilikuwa mpole na mcha Mungu,wanajuta kwa mimi kusoma wanadhani uhuru uliopo vyuo vikuu ndio umebadili tabia yangu. Kweli najuta.
hahahaha!!!!King'asti jana ulinicheka sana ukaniambia ni msiba wa kujitakia. ona sasa nduguyo ameanza zake...nakuambia huu ni mwanzo tu ngoma bado kuchezwa. hata THE BOSS najua analo ambalo amelificha. am fully prepared to console everyone of you'mambo ya jadi tena? and u still wanna keep being involved? kweli ndo maana ww ni ww na mm ni mie!