Mapenzi yananitesa

Njia pekee ni kujipa thamani yako ww mwenyewe... Na kujiona na ww ni bora hvyo bhas ...huna haja ya kuwa mtumwa kwa MTU..ambaye hana time wala hisia na ww....kwa njia hii naona utaeza kuepuka huu utumwa na mgandamizo wa kihisia
 
mwache huyo mpenzi wako kuwa single.. namna ya kumwacha tafuta ubaya wake kama ananuka mdomo kichwa chake kibaya labda halafu kila akija concentrate na ubaya wake utamwacha tu .. onyo hujaumba wewe so usipende kukosoa uumbaji wa Mungu.. halafu mapenzi si lazima ujue si maji useme usipokunywa utakufa okey safari njema
 
Mm mwenyewe sitopenda tena maana maumivu tu bora nifanye yang
 
unamanisha auche moyo ufanye kazi yake ya asili?
 
Mapenz ni hisia zinazoumiza na kutesa watu wengi lkn Huwa hazichoshi, Leo umelalamika kesho Utapata mtu after then utasau ila akikutenda Utakumbuka tena Halafu maisha yanakwenda,
Dah asee hapo kwelii
 
amua kuacha kupenda
bhaaasi hiyo ndio dawa
 
Moyo sukuma damu si vingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…