Huna haja ya kutoa hiyo mimba. Its your gift from God.
Tunza mimba zaa mtoto wako, wanaume ndivyo walivyo, ni sekunde tu wao kubadilika, na hawana huruma hawa. So usiumize kichwa sana.
Mushukuru Munu na endelea na maisha yako, na maandalizi ya ajae.
HE WAS NOT MAN ENOUGH FOR YOU
nafikiri hujanielewa,niliyoyapigia mstari ni yale uliyoyosema,"wanaume wengi ukituondoa sisi wa jf ni waongo sana"jee una uhakika na hayo?mbona kuna watu humu walilalamika waliwahi kudanganywa na wanaume wa jfKwa uzoefu wangu finyu wa forums nimegundua wadada wanasema sana kuwa wanaume ni waongo. Pia tena kwa mda ule mfupi nliokaa vijiweni nikaambiwa sana kuwa wanawake ni waongo. Sasa nikaconclude both of them r liers! tusinyoosheane vidole coz najua dada yetu kadanganywa na hata akija m2 kanishikia panga hapa ntazidi kusisitiza kuwa na yeye alimdanganya jamaa pia kwenye mambo kadha wa kadha. Uctoe mimba(ni kuua kwa kukusudia kabisa-tena macho makavuuu! na huyo kiumbe unayemuua hana hata uwezo wa kupiga kelele kuomba msaada), lea mtoto. Its not over- na he who laughs last laughs the best! Yani huko baadae nna uhakika wewe ndo utacheka wa mwisho. Best of lucks!
Mtengenezee LIMBWATAAAA!!!MAPENZI YANANITESA NIPENI USHAURI
Nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Ninampenzi ambaye kwa kiasi kikubwa ninampenda , mwanzao wa mapenzi yetu alinieleza kuwa anampenzi lakini hawawezi kuwa pamoja kwasababu ya imani ya dini zao hivyo uwezekano wakuishi pamoja hautaendelea kuwepo. Mimi nilikubali kwani nilikuwa tayari nimeshampenza sana.
Hivi sasa mimi nina mimba, na yeye ananiambia na yule aliyekuwa mpenzi wake pia ana mimba sikujali. Tatizo lilokuwepo kila siku ananilazimisha nikatoe mimba mimi nimemwambia sipo tayari kufanya hivyo kwani mimi nina kazi yangu nimemwambia sitamsumbua lakini haelewi anatafuta mpaka watu waje wanishauri nikatoe. Pia ananiambia hataweza kuwa na mm bora aendelee na mpenzi wake wa mwanzo. Naombeni ushauri nifanyaje kwani bado nampenda sana.
And i dedicate this song to u Single boy/single girl by Ally Kiba feat Lady Jaydee!!!!MAPENZI YANANITESA NIPENI USHAURI
Nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Ninampenzi ambaye kwa kiasi kikubwa ninampenda , mwanzao wa mapenzi yetu alinieleza kuwa anampenzi lakini hawawezi kuwa pamoja kwasababu ya imani ya dini zao hivyo uwezekano wakuishi pamoja hautaendelea kuwepo. Mimi nilikubali kwani nilikuwa tayari nimeshampenza sana.
Hivi sasa mimi nina mimba, na yeye ananiambia na yule aliyekuwa mpenzi wake pia ana mimba sikujali. Tatizo lilokuwepo kila siku ananilazimisha nikatoe mimba mimi nimemwambia sipo tayari kufanya hivyo kwani mimi nina kazi yangu nimemwambia sitamsumbua lakini haelewi anatafuta mpaka watu waje wanishauri nikatoe. Pia ananiambia hataweza kuwa na mm bora aendelee na mpenzi wake wa mwanzo. Naombeni ushauri nifanyaje kwani bado nampenda sana.
Laiti angekuwa anafikiria hivyo badala ya kuendelea kumlilia mtu ambaye keshatamka tena kinywani mwake kwamba hamtaki, hamuhitaji na hana shida ya kumbukumbu yake (hataki kuzaa naye)!!
Wakati mwingine mabinti mnaniudhi kwa kushindwa kutumia stadi za maisha tunazowafundisha kila siku kupembua kati ya mchele na chuya!!
Babu DC!!
mapenzi yananitesa nipeni ushauri
nimefikiria kwa muda mrefu naona nazidi kupoteza muelekeo. Naombeni ushauri wenu wa mawazo naweza kufarijika kwani nipo njia panda. Ninampenzi ambaye kwa kiasi kikubwa ninampenda , mwanzao wa mapenzi yetu alinieleza kuwa anampenzi lakini hawawezi kuwa pamoja kwasababu ya imani ya dini zao hivyo uwezekano wakuishi pamoja hautaendelea kuwepo. Mimi nilikubali kwani nilikuwa tayari nimeshampenza sana.
Hivi sasa mimi nina mimba, na yeye ananiambia na yule aliyekuwa mpenzi wake pia ana mimba sikujali. Tatizo lilokuwepo kila siku ananilazimisha nikatoe mimba mimi nimemwambia sipo tayari kufanya hivyo kwani mimi nina kazi yangu nimemwambia sitamsumbua lakini haelewi anatafuta mpaka watu waje wanishauri nikatoe. Pia ananiambia hataweza kuwa na mm bora aendelee na mpenzi wake wa mwanzo. Naombeni ushauri nifanyaje kwani bado nampenda sana.
Bahadhi sio wote! Sugar,"wanaume wengi ukituondoa sisi wa jf ni waongo sana"jee una uhakika na hayo?mbona kuna watu humu walilalamika waliwahi kudanganywa na wanaume wa jf
Nafarijika sana kwa ushauri wenu kwani napata faraja na kujua mengi niliyo kuwasifikirii.