Mapenzi yananitesa mwenzenu

Status
Not open for further replies.

papricah

Member
Feb 25, 2018
13
16
Nyie mwenzenu mapenzi yananitesa sana nikisema niyaache niwe single nafall tena kama kuna mshauri anisaidie ntakufa ety

Iko hivi yani sijawahi kubahatika na mahusiano toka nianze kuyajua yan kila siku nalizwa mm tu the bad thing nikipenda mtu natumbukia miguu yote miwili bas nikapata a boyfriend akaniaminisha that he is mine ...

Sindo nikadumbukia mzima mzima tukikutana anakagua sm yangu mpka yan mipango kando yote nikaiblockilia mbali na kudelete everything bas ikawa asipo nitext yeye no other message itaingia lbd marafk zangu tu lakin mm sijawahi kushika simu yake na sipendagi kushika simu kwasababu huko nyuma uhusiano wangu m1 ulivunjika kwaajili ya kushika sm ya mwanaume so nikapata funzo
Lakini tukionana simu yake alikuwa anaificha sana had nikaanza kupata walakini mara aiweke uvunguni mara aende nayo chooni bas kuna siku akaiweka mezani message ikaingia na ime seviwa kwa jina la mahaba nilivyoona hvyo ikabd nichukue my phone nikapiga nione mm nme seviwa nan kuangalia najiona nmeseviwa jina langu akaja nikajifanya lyk something doesnt exist huku nkiendelea na uchunguzi nikaja kujua kuwa kumbe ana mwanamke wake na mtt.

Ndo nkamwambia naomba unielezee ukweli akanambia bwana huyo mwanamke tulikuwa tunaishi ila hatukufunga ndoa and tumegombana kwa sasa lkn mm i love you nkasema oky bcoz nakupenda nkaendelea nae lkn kila sk vitimbwi tu ubize mwingi nk yan kila siku naumia nalia tu
emoji29.png
...hivi hapa kuna upendo kwel au ndo napotezewa muda tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom