Mapenzi yananitesa mwenzenu

Status
Not open for further replies.
Taifa la ajabu ni lilo maskini likiwa na rasilimali zote.
Mkuu hapana, wakipendana waende kanisani au msiktini waoane....sio kuzaa tu watoto wa uzinifu....tutakua taifa la Ajabu...Shida sahv watu tamaa za Ngono kwao ndo wanaita upendo &mapenzi...
 
Sema jina lako la ukweli maana kuna demu hapa mtaani kwetu alinipenda ila mimi sijawahi kumpenda hata siku moja maana hatuendani hata kidogo.
 
Nilichojifunza hii dunia si Kwa ajili ya watu wema, ukijifanya unajua mapenzi utaumia...we ukipata nafasi ya kumpiga mtu tukio, mpige tukio.
Maisha ni mafupi sana kukaa kulilia mapenzi.
kwakwel
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…