Acha huo ujinga wa kupenda penda,dunia haiko hivyo na haiwataki watu kama nyinyi,utakuja kujiua bure,hapo sio sehemu salama kabisa,kimbia usigeuke nyuma.
Jipende wewe zaidi nafasi ya kwanza ya upendo jipe wewe
Kati ya wanaume wanaokutongoza chagua mmoja unaye mwelewa kidogo mkubalie lakini usimchukulie serious[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kuwa nae tu kwa ajili ya kukuondolea upweke,unapopata ka muda unajibebisha kidogo,maisha yako yanakuwa burudaaaaaani kabisa.[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Piga kazi,tafuta pesa,fanya vitu vya maendeleo
Acha kujifanya unajua sana kupenda[emoji108] kwani hayo mapenzi yameanzia kwako[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]