Tokea utandawazi uchukue hatamu hasa kwa nchi yetu tendo la kungonoka limekuwa ka fashion katika kila idara hatakufikia ya kutoheshimiana katika marika yetu si mzee si mtoto kila mtu ana hemuka kutaka ile kitu! Utakuta katoto kadogo kanatembea na mzazi wake.. Nakapiga mapigo yaleyale ! Vijiweni story ni zamademu tu duuh jamani tubadilike acheni umbulula wa kuiga tu tuwe na tabia nzuri tubadilike !kila kitu kifanywe kwa wakati wake nasio kujisifu sifa za kijinga jinga tu ...oooh na mpenda hapendeki ....nini na nini acheni hizo wadau ...kuwa na mmoja unaemuamini na mpendane kweli sio kuiga iga tu kuwa na tabia za ajabu ajabu ! Mwishoe yakufike ya kukufika
umeonaeeh yaani vijana wetu ck hizi wanapenda ngono sana, maongezi yao, vitendo vyao, nyimbo zao, mavazi yao vyote vinaongea ngono tu yaani wka ufupi waTZ wakubwa kwa wadogo asilimia kubwa ni 'chupi mkononi'
hii dunia mdogo wangu timiza malengo yako tuu... wengine waache na mambo yao... uwezi kumbadilisha mtuu kwani we Yesu... Asiyefunza kwao acha dunia imuoneshe, ukijali sana utakerwa tuu mpaka ufee...
kwa wale wasio wa aminifu ndio wata fanya zoezi hili ...kama unampenda ana kupenda ..haiwezekani labda tamaa na umaskini vizidi akili binafsi ya mtu mwenyewe!
NADHANI HATUKuWA NA ELIMU YAKUTOSHA ya kuupokea utaNDAWAZI NDIO MAANA INAONEKANA 'hali hii imekomaa' media na magazeti skendo za ngono ni ishu za msingi kWAO UTAKUTA vyumba vya baadhi ya magazeti zimejaa picha za uchi tu za watu wanakuambia pesa kwanza utu baadae wengine tunapoendea kutakua na mastaa wa ngono KAMA KINA PINK kisa utandawazi, Isije onekana mie ndio kiranja la hasha mie mOYO Ushakufa ganzi siku nyingi toka na mie nipate ya kunipata!