muulize kamuangusa mara ngapi pia ...tujue wataishia wapi[emoji23]
Wataachana tumuulize kamuangusa mara ngapi pia ...tujue wataishia wapi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasemaje kwani?
wivu
Mi nimekuelewa sana, na mara nyingi dalili njema au mbaya huonekana mwanzo kabisa ila kwa upofu wa penzi jipya hatuoni wala!Habari zenu Jf fam.
Nimekuwa nikiwasikia watu (wengi) wakisema ooh...mapenzi hayaeleweki, hayatabiriki, n.k
Mbona kwa upande wangu naona yanaeleweka vizuri tu.
Mkiwa katika mahusiano kuna mambo yanayokuepo kama kiunganishi kwenu.
Mfano: unaweza kumpenda mtu nae akakupenda (ujue hapo mmeshibana kwenye mapenzi).
Ama umpende asikupende (ujue hapo wewe ndio utavumilia uliependa)
Usimpende yeye akupende (yeye ndio atakuwa mvumilivu)
Pia mkazoeana tu lakini hakuna anaempenda mwenzie (kila mtu hajali ya mwenzie yaani itakavokuwa poa tu)
Lakini kuna kutenda mtu au kutendwa na mtu (kusikitika au kupotezea inategemea nani kamtenda mwenzie)
Ikiwa mtu unayajua haya yote yapo...yanini kusema mapenzi hayaeleweki au hayatabiriki? ???
Bora uchukue mda wako kujiandaa na hali yeyote itakayokuwa sio usubiri kuitegemea hiyo kauli.
(Mapenzi ndio haya na ndivo yalivo na ni kawaida tu)
NB: kauli hii ya hayaeleweki au hayatabiriki naona inawafanya watu wanapopatwa na dhoruba wanadumaa mpaka harakati zingine zinasimama za kimaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hivo mkuu.Mi nimekuelewa sana, na mara nyingi dalili njema au mbaya huonekana mwanzo kabisa ila kwa upofu wa penzi jipya hatuoni wala!
Ndivo ilivo.Leo ndio nimeamini mwanamke ukimfata na ukakuta chumba chake cha moyo kinachohusika na mapenz hakina mtu,
Yani kumpata inakua rahis sana kama kutema mate chooni.
Kitu kingine kipi mkuu.Kwani mapenzi unayatafsirije mkuu
mana naona kama unatafsiri maana ya kitu kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasemaje kwani?
Anashangaa wale wanaosema mapenzi hayaeleweki hayatabiriki in short wale wanaoteseka na mapenzi
Maana yeye na mtu wake alienae wapo perfect kila idara hvyo basi nyie wengine kuna mahala mtakua mnakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee!sasa mbona anashangazwa na mambo ya kawaida sana
Kuna shida kwenye uelewa wako.Anashangaa wale wanaosema mapenzi hayaeleweki hayatabiriki in short wale wanaoteseka na mapenzi
Maana yeye na mtu wake alienae wapo perfect kila idara hvyo basi nyie wengine kuna mahala mtakua mnakosea
Sent using Jamii Forums mobile app