[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu weka hiyo audio kwanza, kujudge bila vithibitisho ni dhambi
Sikio la kufa..... Hawezi kukusikia mpaka apofushwe na scorpionNadhani mpaka hapo imengetosha kujua kama sio mwanamke wa type yako,na sio vizuri kumfedhehesha as a man muache
mwambie aendelee na masomo na usimtafute tena...
Hahaha Scorpion tenaSikio la kufa..... Hawezi kukusikia mpaka apofushwe na scorpion
Mnajitafutiaga presha zisizo za lazima...Jamani wana janvi.. Hivi Karbun nlianza kutia shaka nyendo za mpnz wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini... Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, Kwa Siku za Karbun amekuwa akidai ana msululu wa test kias kwamba anahtaji break kidogo.. apate mda kidogo wa kujisomea zaid na marafiki zake.. (group discussion) mi hewala bhana Ckuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA Kali bhas Kher..
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo..
Ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua Kupachika kinasa sauti Chumban kwake ki Intelligencia Ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafik zake kias cha mimi kutomjulia hali ni zipi..
Baada ya kuwa nmepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo Cku ya mapumziko Nmeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari
Ni binti kachezeshwa Gwaride la kiutu uzima.. Na dalili zote za mchezo haramu..
Najarbu kutupia kipande cha recordings nashindwa..
Ila kiufupi.. Huyu mpenz mwana zuoni amenshinda tabia..
NB.. Mwenye kuweza kunielekeza namna ya kuapload audio anielekez Ili niweze kuleta Japo kipande kimoja cha recordings hizo.
Kugegeda niko vizur.. Cjisifu But I know ngosha mchezo naujua.. But audio zake zinanipa shaka May be ni kale kamchezo ka pwani ndo maana nmejiuliza Sana mkuuWewe usimdhalilishe demu wako kwa kuweka sauti yake hapa.Kama unaona kwa tabia hizo huwezi kuendelea naye basi tupa kule chapa lapa....!!!!! Kwa ushauri tu next time usiweke hizo recording device utaishia kuacha hata mkeo nini demu tuuu.Jitahidi kugegeda vizuri ili usipatwe na majanga tena.
Good ideaUcku wa jana ulikuwa mgumu... Sijamuuliza bado.. Ila natamani nimtumie hizi audios... Halafu siulizi kitu..
Jamani wana jamnvi,
Hivi karibuni nilianza kutia shaka nyendo za mpenzi wangu ambae ni mwanachuo wa chuo fulani maarufu tu hapa nchini. Katika kutaka kujiridhisha na doubts zangu nikaandaa mtego simple tu.
Ishu ilikuwa hivi, kwa siku za karibuni amekuwa akidai ana msururu wa test kiasi kwamba anahitaji break kidogo apate mda kidogo wa kujisomea zaidi na marafiki zake (group discussion) mi hewala bana sikuwa na kinyongo as long as mbibie anatafta GPA kali basi kheri.
Japokuwa hapo mwanzoni haikuwa hivyo ili kujiridhisha na kinachoendelea niliamua kupachika kinasa sauti chumbani kwake ki intelligencia ili kubaini hizo discussion anazofanya na rafiki zake kiasi cha mimi kutomjulia hali ni zipi. Baada ya kuwa nimepachika kifaa hicho nilijipa one week then leo siku ya mapumziko nimeenda kwake kumsabahi na kukichukua kifaa hicho.
Niliyokutana nayo wandugu ni hatari ni binti kachezeshwa gwaride la kiutu uzima na dalili zote za mchezo haramu ila kiufupi huyu mpenzi mwana zuoni amenishinda tabia.
siku nyingine tegesha video ya siri kisha utuletee hapa, haya mambo ya audio hayana mzuka kabisaaaaa.Jamani wana jamnvi,