Mapenzi yamekua magumu kwangu

Mapenzi yamekua magumu kwangu

Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu

Soma kwanza
 
Chezea Love!Ndo Faida Ya Michepuko Bki Na Umpendae Ila Kumbuka Uxampotezea Muda Huyo Wa Chuo!Mtenda Hutendwa Just Wait To See!
 
Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu

Mwandiko wa msomi, mwanachuo.....
 
ujinga huo mpaka sasa hujajua unachokitaka waache watoto wawatu wakakae nawanaowapenda
 
Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu

upo chuo kikuu au? au vile vyuo vingine vya utotoni!

kwa sababu huo mwandiko wako inaonesha hata darasa la nne haujafika
 
Back
Top Bottom