Mapenzi yamekua magumu kwangu

Mapenzi yamekua magumu kwangu

AFRICAN BOY

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
64
Reaction score
6
Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu
 
embu fanya shule alafu soma alafu jifunze kutumia herufi sahihi kwenye neno sahihi
 
Nakwambieajewewe n mwanaume,simu usimpigie,na kumuacha usimuache huyo dam kama hatak akuache wewe,,ubaki njia kuu weye lori??
 
Mi nakushauri niletee mmoja kukurahisishia maamuzi..loading error...
 
Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu

Mh, umefika hadi chuo ukafanya mitiani yote, uu wa kuchagua mpenzi ndo huwezi?
 
Ndugu Zangu Wana Jf Naitaji Msaada Wenu Leo Kama Kunamtu Anaweza Nisaidia Japo Kwa Mawazo Yenu Nitashukulu,mimi Nikijana Mwenye Umri Wa Miaka 25 Sasa Nipo Kweny Relation Ya Kimapenz Na Mabinti Wawili Lakn Mmoja Kata Ya Hao Ameshtuka Kua Ninam2 Mwingne Na Anamfahamu Kabisa Huyo Binti Mwngne Ni Kweli Kabisa Sasa Kasema Nimpigie Cm Huyo Msichana Mwngne Kua Simtaki Sasa Nina Shindwa Kumwambia Kua Simtaki Cz Naona Sio Busala Japo Kweli Simtak Lakn Pia Ninaxomanae Chuo Kimoja Na Dalaxa Moja Leo Ndo Natakiwa Nifanya Uamuzi Huo Naitaji Mawazo Yenu Japo Nilifanya Makosa Kutokua Mwaminifu.Naitaji Mawazo Yenu Ndg Zangu

An idle mind is the devil's workshop...stay focus in your studies, son!
 
Anataka umpigie mwenzake kisha umpige kibuti mbele yake kwani ulimtongoza mbele yake?

Mwambie kuna procedures kwa kila jambo.
 
mbona hata huyo mwingine anampenzi tukuyu halafu we ni wa kigoma we ni kanjanja wa michepuko we piga wote.
 
Kwa nini umekosa uaminifu hivyo? Wanawake wawili wa kazi gani?
Una kipato gani cha kuwahudumia wanawake wawili?
Unamudu vipi masomo huku una mahusiano na watu wengi hapo chuoni???
Soma kijana, achana na ngono zembe!
 
Back
Top Bottom