Mapenzi yalikuwa zamani

Hiyo mbona kawaida sana jamani?Kumnawisha babe wangu miguu kama hivyo haiwezi kuwa issue kabisa.
Kama hamfanyiwi hayo poleni....
 
Ndio maana ndoa hazidumu wanawake hamjitumi, kukumbushana kodi za meza na hela ya mchezo kwisha

Wanaume ndio hamjitumi........mmekuwa goigoi sana.....tumechoka.....
 
Hiyo mbona kawaida sana jamani?Kumnawisha babe wangu miguu kama hivyo haiwezi kuwa issue kabisa.
Kama hamfanyiwi hayo poleni....
Umemuosha lin? Wengine ata kumpangusa gegedo na tishu hawawezi.
 
Umemuosha lin? Wengine ata kumpangusa gegedo na tishu hawawezi.
Tatizo sio lini,hilo kwangu sio issue kabisaaa.
Halafu watu hatutumii tissue nowdays, ni mwendo wa wipes.
 
MAKOTI MATATU HAPO ITAKUA NI BARIDI SANA
 
Tatizo sio lini,hilo kwangu sio issue kabisaaa.
Halafu watu hatutumii tissue nowdays, ni mwendo wa wipes.
Ndio nn wipes? sisi bado tunapangusiwa vipande vya kitenge na kaniki au khanga.
 
Acheni kutunyima haki zetu enyi wanawake! Mmeumbwa kubembeleza ila mmegeuka wakali kama nyuki
Toa hela ubembelezwe,wewe vipi?
Tatizo wanaume wa sasa mnakera sana,umalaya mfanye,pesa hamtoi halafu mnataka kubelezwa!
Mimi vyoooote akose ila akiwa loyal tu kwangu inatosha,nitambembeleza.
 
Siku hizi anakubusu akili yote ipo kwny Camera na Mambo ya Smartphone apate kuji ekotikee apate cha kurushia kwny Instagram!
 
Toa hela ubembelezwe,wewe vipi?
Tatizo wanaume wa sasa mnakera sana,umalaya mfanye,pesa hamtoi halafu mnataka kubelezwa!
Mimi vyoooote akose ila akiwa loyal tu kwangu inatosha,nitambembeleza.
Nitafanyaje nikupate aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…