Labda nikwambie kitu ambacho kinaweza kikawa ni msaada kwako kwa wakati huu ,,unajua kumpenda mtu ni kitu kikubwa sana lakini in return thamani ya upendo unaompa mtu kuurudisha huwa ni vigumu wakati mwingne lakini kwann inakuwa wakti mwanzo haikuwa hivyo ? jiulize xana ni nini ulichopunguza kwake au nanatoka na nani right now ,,na onesha hisia za dhati kwake ,,,,nakudedicate nyimbo ya Jux=uzuri wako kwa ajilli ya hisia zako