Na hii ni moja ya vitu vizuri kabisa kwenye uislamu.
Papa Francis alitangaza kuiangalia upya sheria ya ndoa ya kikatoliki, anajua haipo sawa. Ila kuna wahafidhina wanamzuia, aking'ang'ana watamuondoa kama walivyomuondoa Benedicto.
Hizo ni fikra potofu mana huo mchezo upo popote duniani inategemea binti mwenyewe akilegeza wanamlegeza
Pia maadili na malezi ya mabinti yanachangia kidumu kwenye ndoa mana wanarizika na kuvumilia