Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,903
- 172,780
Umeonaeeee pesa muhimu kuanzia vocha., mafuta gari nk tena itabid now days tuwachaji pia na mda wetu
Hata msichana pia anaweza kulipia kama anazo
ama kwa lugha nyngne vinaenda sanjari hahahaaaa ndugu u make me happy
Vinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
Ameulizia ya sasa
kaa chin huna point.wewe ndo mmoja wa mizigoVinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
kaa chin huna point.wewe ndo mmoja wa mizigo
wewe utakuwa member wa bodi ya BAKITA