Mapenzi ya sasa

IBM2014

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
929
Reaction score
169
Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE? I am confused
 
Vinaenda pamoja. Unaimbisha huku unafungua wallet!!!
 
Heshima pesa ndevu uchafu,.
elimu ufunguo wa maisha
pesa ufunguo wa malaya.,
 
Ww kama ulifanikiwa kusikia story za zamani ulishackia mtu anatupa hla kupata mwanamke kwanza mty huyo hela atatoa wapi so thnk of it vzr utaona mazee
 
Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE? i am confused

Mapenzi ya sasa na hela ni kama chai na sukari.
 
Pesa kwanza hata unapoenda kumtongozea si inabidi maongezi yasindikizwe na msosi na vinywaji?
lazma ulipie .......
 
Kwani ya kalé yalikua bure au

Babu alinisimulia kuwa yeye mpaka anampata bibi hakutoa kitu chochote zaidi ya ng'ombe aliowatoa kwa baba yake na bibi yaani hakumtongoza au kuposa kwa hela.
 
Pesa kwanza hata unapoenda kumtongozea si inabidi maongezi yasindikizwe na msosi na vinywaji?
lazma ulipie .......
Umeonaeeee pesa muhimu kuanzia vocha., mafuta gari nk tena itabid now days tuwachaji pia na mda wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…