Miss Chaga kwa hiyo nawe unamtafuta wako mwisho wa mwezi tu?
Kwa wale wafanyakazi wanaotegemea mshahara ukiona una mpenzi ambaye kipindi chote hakutafuti wala kukujulia hali mpaka karibia na mwisho wa mwezi ambapo anajua unapata pesa ndo anaanza sms za mara kwa mara kuwa amekumiss pia kutaka miadi ya kukutana naye ogopa kama ukoma hao ni matapeli wa mapenzi.
Mimi huwa naweka bajet mwanzo wa mwaka yeye atajua implementation iweje
Tuliza kichwa chako cha juu soma vizuri mada ujue inaongelea nini usikurupuke kijana. Hapa mada haihusu ubahili inaongelea mapenzi ya kutafutana mwisho wa mwezi tu kunako mshahara.acha ubahiri dogo, wewe hujui raha ya kuhonga eti? nzishe zako!!
Tapeli wa mapenzi huyo hafai kuitwa mpenzi.