orturoo
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 2,957
- 4,929
ukija unichekAsante kwa jibu.......
ukija unichekAsante kwa jibu.......
Thank u but cyo mm mpnz story nimepigiwa na shost ndyo maana nimesema mfanooNimesoma mpaka nimejiskia vibaya mimi kama dada sijui kwanini..!!
Unavyoonekana bado mdogo uandishi wako una reflects hilo..!
Seriously, matukio na magonjwa yote haya bado una ndoto za kwenda kuonana na mtu mliyeonana kwa picha tena kwa kumfuata.!
At least yeye ndo akufuate ulipo at some point inaweza kukusaidia.!!
Usikurupuke katika Maamuzi yako..!!
hahah umenichekeshaaa... Uyoo ajakutana mtandaon wameunganishwaa diaKuna watu wana bahati ee,mbona kwangu haitokei yaani sijawahi kupata mtu mtandaoni,kila atakayenivutia nahisi hatakubali kwa kuwa hanijui,ama kweli uoga wako ndiyo umasikini wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina tofauti sana,Jaha
hahah umenichekeshaaa... Uyoo ajakutana mtandaon wameunganishwaa dia


Mm cna wa kukupa mpnz pmbn na hali yakooHaina tofauti sana,
Naomba uniunganishe na mimi dear,mimi nitamfuata mwenyewe ili kumpandisha hadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haina tofauti sana,
Naomba uniunganishe na mimi dear,mimi nitamfuata mwenyewe ili kumpandisha hadhi
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu swali wacha mbwembweCyo mm boss ni rfik kanipa story nimeon nilete uku...