Mapenzi ya mbali yananichanganya!

vumilia utaacha wangapi, nasikia wanasemaga hivyo hebu jaribu na wewe

ndg uvumilivu nao una climax yake! Kumbuka kuwa kuna wengine wananivizia nawatoa nje, huku kwingine nawekwa pending hata mawasiliano..!.? Duh, nimechoka nafsi yangu hii mambo.
 
Pole sana Mkuu naona hakuna penzi tena hapo. Kuendelea kujaribu kuwasiliana naye ni kuendelea kujiumiza moyo wako.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…