Lee Napoleon
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 896
- 568
- Thread starter
-
- #21
Hapo Huyo jamaa alikuwa anavumilia tu coz mdada anamuhonga. Wanaume wasivyopenda kushare, ajikute tu anakuona na michepuko afu akuchekee, labda awe hakupendi
Hayo yangekuepo sister asingeteseka adi michepukon kumtimizia jamaa kifedha... TRUE LOVE NEVER END
Mapenzi yakweli yapo ila bahati mbaya ni BLIND!
love and stay real hakika hutoyumba, hapo nlitaka wale wanaume wenye mawazo ya kuwa wanawake wanataka hela 2 wabadilishe mtazamo na kujaribu kuwajenga wanawake wao kiuhalisia, maana maisha ni uhalisia na co copy
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu
True love always huwa Iko side effect
Unaweza kuta me ndo kafa kaoza ila Ke walaaa
Na huwa kawaida kabisa kwa mwenza wake au Ke ndo kafa kaoza ila me ndo walaa sa sijui reason ni nini Hasa jamani
Ila ni Mara chache sana kukuta both me n Ke wako totally falling in love
I don't know why guys
Anaejua anisaidie labda
Mapenzi ni two-way. Go and return. Mifano unayotoa ni one-way. Hayo sio mapenzi.
Its True.. Mapenzi ya Kweli yapo
Nimekuelewa vizuri sana and i believe in true love pia. Sio Kila mwanamke yupo after money, ni kweli huyo dada alimpenda jamaa yako. But kumsaidia mtu kwa kutumia hela unazohongwa na wanaume wengine ni true love? Wewe utamruhusu girl wako atembee na mwanaume mwingine ili akusaidie wewe afu still useme anakupenda kwa dhati? Kwa nini asiridhike na umaskini wenu?
Lazma utakua ndo first yr maana hauwez kutumia tht simple scenario and make it general..... We are looking at a bg picture here ....open your mind and see
Mapenzi ya kweli yapo sana ila tatizo ni kuwa Mara nyingi yanakuwa ya upande mmoja,Me akipenda kweli anakuta Ke anazuga tu and vice versa!!!
Habari waungwana,
Amani iwe juu yenu, mimi huwa naziangalia sana hizi hadithi mnazoleta watu wengi mnaimani hizi bila kuangalia uhalisia mnasema kuwa eti mapenzi sikuhizi hakuna katika maisha ya kawaida twende kwenye uhalisia, mimi nakataa hizi imani
maana nimeshuhudia mengi juu ya hili.
Mfano: Nina dada yangu jina kapuni ila anasoma nursing hapa DSM, alikuaga na jamaa mmoja anasoma UDSM kiukweli jamaa ni majalala tu anaishi kawaida kabisa ila sister alikufa kabisa kwa jamaa, na sister mashaallah ni mzuri sana kila sector kama anamapungufu basi ndo tulivyo binadam.
Alikuwa anaeza akapewa hata hela home au akapewa na michepuko huko na akampa jamaa bila hata kuombwa, kiufupi alikua anamsikiliza sana jamaa anamfanyia kila anachotaka, badae jamaa alizingua baada ya sister kwenda field Kilimanjaro na ili kujua sister alipenda aliumwa wiki ile hadi alilazwa.
Mfano: Chuo pia nashuhudia haya na mengine mengi, msichana mkali alafu hana shida analiliwa na mapapaa lakini anamlilia jamaa wakawaida sana hasikii haoni.
Tuongee uhalisia
Bora umenisaidia aisee mkuu facilitator
Maana ningesema zaidi asingenielewa kabisa huyu Facilitator