Mapenzi ya kweli yapo

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
896
Reaction score
568
Habari waungwana,

Amani iwe juu yenu, mimi huwa naziangalia sana hizi hadithi mnazoleta watu wengi mnaimani hizi bila kuangalia uhalisia mnasema kuwa eti mapenzi sikuhizi hakuna katika maisha ya kawaida twende kwenye uhalisia, mimi nakataa hizi imani
maana nimeshuhudia mengi juu ya hili.

Mfano: Nina dada yangu jina kapuni ila anasoma nursing hapa DSM, alikuaga na jamaa mmoja anasoma UDSM kiukweli jamaa ni majalala tu anaishi kawaida kabisa ila sister alikufa kabisa kwa jamaa, na sister mashaallah ni mzuri sana kila sector kama anamapungufu basi ndo tulivyo binadam.

Alikuwa anaeza akapewa hata hela home au akapewa na michepuko huko na akampa jamaa bila hata kuombwa, kiufupi alikua anamsikiliza sana jamaa anamfanyia kila anachotaka, badae jamaa alizingua baada ya sister kwenda field Kilimanjaro na ili kujua sister alipenda aliumwa wiki ile hadi alilazwa.

Mfano: Chuo pia nashuhudia haya na mengine mengi, msichana mkali alafu hana shida analiliwa na mapapaa lakini anamlilia jamaa wakawaida sana hasikii haoni.

Tuongee uhalisia
 

Mapenzi ya dhati yapo kweli hapo? Though nakubaliana na na wewe kuwa mapenzi ya dhati yapo. Wanaosema mapenzi hayapo wao ndo matapeli!
 
Mapenzi ya kweli yapo sana ila tatizo ni kuwa Mara nyingi yanakuwa ya upande mmoja,Me akipenda kweli anakuta Ke anazuga tu and vice versa!!!
 
Mapenzi ya dhati yapo kweli hapo? Though nakubaliana na na wewe kuwa mapenzi ya dhati yapo. Wanaosema mapenzi hayapo wao ndo matapeli!
Hapo Huyo jamaa alikuwa anavumilia tu coz mdada anamuhonga. Wanaume wasivyopenda kushare, ajikute tu anakuona na michepuko afu akuchekee, labda awe hakupendi
 
Hayo yangekuepo sister asingeteseka adi michepukon kumtimizia jamaa kifedha... TRUE LOVE NEVER END
 
Mapenzi yakweli yapo ila bahati mbaya ni BLIND!
 
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu
True love always huwa Iko side effect
Unaweza kuta me ndo kafa kaoza ila Ke walaaa
Na huwa kawaida kabisa kwa mwenza wake au Ke ndo kafa kaoza ila me ndo walaa sa sijui reason ni nini Hasa jamani
Ila ni Mara chache sana kukuta both me n Ke wako totally falling in love
I don't know why guys
Anaejua anisaidie labda
 
Mapenzi yakweli yapo mkuu nilishawah kudate na girls adi nikasema hiv wananipenda au wananionea uruma tu. Sema hua ni ngumu sana kuhandle ad ifike mbali coz ni lazima mmoja atapenda zaidi na mwenzake na wanaume wa ukwel hua hatupendi sana kuwa chini ya mwanamke.
 
Labda sister puch full kisima alafu mshikaji hajali lazima juhudi ziwe kubwa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Mapenzi ni two-way. Go and return. Mifano unayotoa ni one-way. Hayo sio mapenzi.
 
Mapenzi ya dhati ni yale ambayo wote mnapendana kiuhalisia. Kitu ambacho siku hizi ni ngumu sana kupata hiyo "Match".
 
Mapenzi ya kweli yapo lakini yanakuwa yaupande mmoja,kutokana na kuwa ya upande mmoja mwisho wa siku tunakuja kusema kwa ujmla kuwa hakuna mapenzi ya dhati ila kunakuvmiliana kutokana na interest flani flani kwa wahusika,
 
Yapo, wapo watu wanaopenda na wenza wao wanawapenda pia... usiombe ukapenda afu usipendwe, utaona kila rangi kama upinde wa mvua vile
 
Sasa mapenzi ya kweli ndiyo kuliliana au?
 
Ilishanitokeaga kipindi flani nikiwa secondary
Huyo dem sikumkubali mi nikampotezea lakini bado yupo na mimi anasumbua but ndo ivyo moyo umegoma kabisaaa
 
Mapenzi ya dhati yapo kweli hapo? Though nakubaliana na na wewe kuwa mapenzi ya dhati yapo. Wanaosema mapenzi hayapo wao ndo matapeli!

yaah sure! na hyo sentenc nlijarb kuonesha uhalica jinc ilvyo, ila kiukwel mapenz yapo
 
Mapenzi ya kweli yapo sana ila tatizo ni kuwa Mara nyingi yanakuwa ya upande mmoja,Me akipenda kweli anakuta Ke anazuga tu and vice versa!!!

hapa kinachotakiwa ni kujengana, "dont expect lov return, but lov and let it grow in their heart"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…