1 Wakorintho 13
2 Tena nikitoa mali zangu zote kuwalisha maskini, tena nikijitoa mwili wangu niungue moto, kama sina upendo, hainifaidii kitu.
3 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni;4 haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya;5 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;6 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.7 Upendo haupungui neno wakati wo wote
hapo kwenye kileleni hapana , mwanamke lazima afike kileleni ili kemikali zitolewazo na mwili ziutulize mwili bila hivyo anakuwa anaruka ruka ka popcorn kwenye frying pan. Unaweza usiione moja kwa moja ila kifika kileleni ni dawa ''you see a woman glowing'' sio amefubaa bana anaweza kuwa chizi asipopewe haki yake sawa sawa.
Asante kwa thread yako mkuu. Ingawa kiuhalisia sidhani kama uvumilivu wa hivyo upo,hasa kwenye kuvumilia ukata wa pesa kwa wanawake.
Pesa kitu muhimu sana,outings,vacations,vizawadi.....kwakweli atleast hivyo vita changamsha relationship.. Otherwise itakuwa so boring mwanzo wa kutupa jicho kwingine
Dooh hicho ndio kipimo cha upendo?
Hapo kwenye kileleni hapana , Mwanamke lazima afike kileleni ili kemikali zitolewazo na mwili ziutulize mwili bila hivyo anakuwa anaruka ruka ka popcorn kwenye frying pan. unaweza usiione moja kwa moja ila kifika kileleni ni dawa [color =red]''you see a woman glowing'' sio amefubaa bana[/color] anaweza kuwa chizi asipopewe haki yake sawa sawa.
Pesa kitu muhimu sana,outings,vacations,vizawadi.....kwakweli atleast hivyo vita changamsha relationship.. Otherwise itakuwa so boring mwanzo wa kutupa jicho kwingine