Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 533
Tuone picha yakeHeshima kwenu wanajf,Kama kichwa Cha habari kinavyosema,wadau mapenzi ya kweli Bado yapo,. Ni suala mda tu kumpata wa kuendana nae,jinsi huyu binti anavyonipenda hivi afu Kuna watu wanasema hamna mapenzi ya kweli,. Kiukweli mwanzo sikuwa namzingatia huyu binti,kadri ya mda unavyoenda nahisi kumuelewa,nishwahi kuleta thread yake hapa jukwaani,. Kiukweli nilikuwa mpita njia tu lakini kwa huu upendo wa huyu binti anaonesha kwangu,soon napeleka posa, sijajua Kama atachange lakini maana Hawa viumbe hawajawahi kueleweka,lakini hiki anachoonesha kwangu kwa mda huu nauona upendo wa kweli,Mimi syo tajiri labda amepata pesa hapana,muwe na siku njema
Mapenzi ya kweli Yapo mkuuWadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha kunifanya nianze kuamini tena mapenzi ya kweli.
Awali, sikumzingatia sana, lakini kadri muda ulivyopita, nimeanza kumuelewa na kuhisi upendo wake. Niliwahi kuandika kuhusu yeye hapa jukwaani, na kiukweli nilikuwa mpita njia tu mwanzoni. Hata hivyo, jinsi anavyojitahidi kunionesha upendo, imenifanya kufikiria hatua kubwa zaidi, na hivi karibuni natarajia kupeleka posa.
Najua kuna wasiwasi kuwa huenda akabadilika, hasa kwa sababu kuelewa wanawake si rahisi, lakini kwa sasa kile anachoonesha kwangu kinaonekana kama upendo wa kweli. Mimi si tajiri, hivyo si suala la pesa.
Tuendelee kuamini kuwa mapenzi ya kweli bado yapo. Muwe na siku njema!
NapendwaKuonewa huruma si kupendwa.
Ndoa tamu.weweKATAA NDOA shtuka unaibiwa.
Nna njaa nikishiba ntarudi.
Nimejaribu kumutafutia makosa nimuache imeshindikana,kosa kidogo ataomba msamah utamuonea huruma,Umejuaje kama hakuigizii?
Maisha yetu kwa ujumla yanakabiliwa changamoto, hivo ukitazama changamoto pekee hutouona uzuri wa kitu chochote.Watu wanavyoyasimulia mapenzi utayaona mazurii, ingia sasa wewe ukaonyeshwe acrobatic ama ukurumbembe!!..
by the way hongera kwa kupata mpenzi wa kweli.
Niseme kuwa, wewe una bahati sana kupendwa na anayekuvutia.Wadau, swali la iwapo mapenzi ya kweli bado yapo limekuwa likizungumziwa sana. Ni suala la muda tu kumpata mtu anayekufaa. Kwa mfano, kuna binti mmoja ambaye amenionyesha upendo wa dhati kiasi cha kunifanya nianze kuamini tena mapenzi ya kweli.