Afu mkewe si alikuwa mzungu? Angekuwa mswahili ungeona jinsi ambavyo anngepondwa.
I'd go back home and pretend I've never heard or written such a letter!!!!
Hahahahaa hata kurina asali ni raha kwikwikwiiiiiiaa wapi!! Erickb52 yeye ni fundi wa kurina asali....hawezi kunyoa kwa ustadi kama wewe. M-jew mhhhuuuu...............!!! Mentor sijui kafichwa na ladyfurahia wapi....anapewa juice ya machungwa.......
uliandika kwa mkono,mwandiko copyright..........,
na mwishon ulitupia ka signature kako ili ajue ni wewe na asikutafute tena......
Mentor umetisha mtu wanguHujui mambo ya IT WASN'T ME....somebody trynna ruin our relationship honey!
"..na wakijaribu kutulay-asunder, Mungu moja nitawapiga ngeta" #sinzia-nameless
aa wapi!! Erickb52 yeye ni fundi wa kurina asali....hawezi kunyoa kwa ustadi kama wewe. M-jew mhhhuuuu...............!!! Mentor sijui kafichwa na ladyfurahia wapi....anapewa juice ya machungwa.......
Ha ha ha.. kwa hiyo Erickb52 mara nyingi anakuwa Katavi huko akirina asali eeh..
Sasa huyu shem Mentor nae ananichanganya.. Ina maana Suzie aliachwa..? Huyu ladyfurahia nilijua ni rafiki yake tu wa kalam..
siyo rafiki yake wa kalamu ni mkewe wa ukweliii kabisa no discussion! no qns! no apologies! and many more & l cannot pretended wife, really wife! upo hapo! usilete majanga hapa soma hii: View attachment 96447
Ulikuwa unamaanisha majungu au ladyfurahia..?
Mentor umetisha mtu wangu
Ulikuwa unamaanisha majungu au ladyfurahia..?
unasubiri nini kufanya maamuzi sasa?, unangoja nini kuchukua hatuano discussion! Kwani ujumbe umeshaulewa hapo!
Hapo ndo utaona kaz kufuta kauli iliyokatika maandishi.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ni kweli Baraka, kuna hadithi ya Binti mmoja Mchaga alienda huko Ulaya kuzitafuta kwa njia zisizosahihi hapa nchini. Basi baada ya kurudi akasema ukweli kuwa yeye alikuwa "Prostitute" Baba mtu akafula na kumweleza kuwa kuanzia wakati huo si Mwanae na wala asimwone tena hapo nyumbani.
Binti akaomba ombi moja tu awaachie vijizawadi vidogo Mama na wadogo zake baada ya hapo aondoke,
Basi akaanza kushusha vitu
Mama - Kadi ya gari imelipiwa kila kitu - Benzi
Wadogo Mtu - kila mtu kadi ya gari imelipiwa kila kitu - Rav 4
Mwisho akasema kuwa Prado alokuwa amemletea baba yake apewe Babu yake upande wa mama.
Wakati anaondoka baba mtu akamwita, akauliza hivi ulisema unafanya kazi gani kule Ulaya, Binti kwa sauti akasema tena mimi ni "Prostitute" basi baba akasema samahani mwanangu mimi nilisikia vibaya kuwa ulisema wewe ni "Protestant" hivyo yote niliyosema nimeyafuta wewe ni mwanangu mpendwa kuliko wote. akamalizia kwa kusema SHIKAMOO MWANANGU. Na binti akakalibishwa nyumbani
unasubiri nini kufanya maamuzi sasa?, unangoja nini kuchukua hatua
iliyonyooka?acha kuogopa weka nia mbele na thubutu sasa ...........