Mbona wako wengi tu, wengine wanachukua mikopo bank interest rate 25% million kadhaa kisa watanue na girlfriend. Kuna mtu namjua alipata pesa $ 250,000 doner money, akaitumbua yote na girlfriends auditors kufika no money no project. He took his own life kaacha mke na watoto bila kitu. Kama aliamua kutumia hizo pesa angejengea watoto wake hata kanyumba. Girlfriend anakatiza tu mjini like nothing happened.

kwani huyo mwanamke unaemuhudumia yeye ameshindwa kupambana kupata chake mpaka wewe ndo ugeuke mzazi wake?
Mfano huyo jamaa aliyekula fedha za donor was actually bragging about it na kujisifia kabisa kwa marafiki zake, you know that stupid saying "tumia pesa zikuzoee" ndio ulikuwa msemo wake mpaka akapewa hilo jina wakati it was not his money in the first place. Sidhani hata mwaka uliisha hela hakuna na alichofanya hakuna.Huo ni wazimu/ushamba wa mapenzi
jamanee, ebutufiki
e wakati tuache lawama zisizo na maana. Hivi kama mfano wewe ni mtoto wa dada yangu alafu minikamnunulia mpenzi wangu gari au nimemjengea nyumba kuna tatizo gani!? Na huyo dada yangu wakati anazaa aliniambia mimi nije nimsomeshee wanawe? Mtoto wa dada, baba yake yupo wapi?
Ndugu yako atakupa utamu ninaokugea mie au mnajishaua tu hapa? EVERY BODY FOR THEMSELVES GOD FOR US ALL!
kwani huyo mpenzi wako baba yake anakuwa wapi?
Cdhani kama kweli ww unakili timamu ndugu zako wanahangaika ww unaenda kumnunulia gar Demu tena wakati mwngne co mke wako. huo 2naita n umburula.