Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Jun 19, 2013 #1 YUPI MUOWAJI NA YUPI ANAYE OLEWA HAPO?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,064 Reaction score 69,488 Jun 19, 2013 #2 Mkuu MM Haya makubwa sana nadhani muoaji ni huyo mwenye suti nyeusi.
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 20, 2013 #3 mh uislam kazi !
Marumia JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 644 Reaction score 213 Jun 20, 2013 #4 Duuuuh wamependeza sana Aisee!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 #5 Dislike this
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jun 20, 2013 #6 hii sasa sio tu 2 much bali ni 3 much
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,562 Jun 20, 2013 #7 Natamani ningeelewa unachomaanisha, lakini siwezi kutumia akili yako hivyo let me leave.
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jun 20, 2013 #8 stineriga said: mh uislam kazi ! Click to expand... Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !?
stineriga said: mh uislam kazi ! Click to expand... Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !?
stineriga JF-Expert Member Joined Jun 20, 2012 Posts 2,172 Reaction score 892 Jun 20, 2013 #9 Ally Kombo said: Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !? Click to expand... mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam!
Ally Kombo said: Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !? Click to expand... mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam!
S shuu92 New Member Joined Jun 4, 2013 Posts 4 Reaction score 1 Jun 21, 2013 #10 Hehe hata wanaigeria wanakua wanavaa kofia wakati hata si waislam na hiyo nguo biarus ni nakshi ipi inaashiria uislam hem jitoe tongo ww uangalie vzri..thn uongee tena Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hehe hata wanaigeria wanakua wanavaa kofia wakati hata si waislam na hiyo nguo biarus ni nakshi ipi inaashiria uislam hem jitoe tongo ww uangalie vzri..thn uongee tena Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Jun 21, 2013 #11 stineriga said: mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam! Click to expand... We Mgalatia nakshi nakshi za Kiislaam wewe unazijuaje ? ..........hiyo kofia ni ile ya Papa wa kule Vaticani !
stineriga said: mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam! Click to expand... We Mgalatia nakshi nakshi za Kiislaam wewe unazijuaje ? ..........hiyo kofia ni ile ya Papa wa kule Vaticani !
M maishamagumutanzania JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 221 Reaction score 65 Jun 21, 2013 #12 eeeeh ama kweli hii ni karne ya 21
SoNotorious JF-Expert Member Joined Sep 11, 2011 Posts 2,422 Reaction score 859 Jun 21, 2013 #13 Ally Kombo said: Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !? Click to expand... huwa mnasema viumbe wote ni waislamu au umesahau hizo propaganda?
Ally Kombo said: Ni nini kiashiria cha Uislaam hapo we Mgalatia !? Click to expand... huwa mnasema viumbe wote ni waislamu au umesahau hizo propaganda?
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,897 Jun 21, 2013 #14 stineriga said: mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam! Click to expand... labda ungesema nguo za kiarabu
stineriga said: mgalatia ba-ba-ako! kofia ya bwana harusi, nguo ya bi harusi ina nakshi nakshi za kiislam, sasa sijui hao mbuzi ni waislam, au bwana na bi harusi wamevaa vinyago vya mbuzi kama vile taratibu za kiislam! Click to expand... labda ungesema nguo za kiarabu
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Jun 21, 2013 #15 taamu said: labda ungesema nguo za kiarabu Click to expand... Kabisaaa...hizi nguo hata wahindi wanavaa jaman,mbona watu wanataka kuleta conflict za udini bila sababu..
taamu said: labda ungesema nguo za kiarabu Click to expand... Kabisaaa...hizi nguo hata wahindi wanavaa jaman,mbona watu wanataka kuleta conflict za udini bila sababu..