Mapenzi Ya Kikauzu!!

Jivue gamba haraka!

 
Mapenzi yana art yake, chakula kina sayansi yake, unapoona anakubania ameshakuona wewe mchizi poli nenda kozi mbona wapo madaktari wa mahusiano na mapenzi? ukichelewa ataondoka jumla.
 
kwani wewe unaonesha mapenzi ya gani hata ya mwenzako uyaite ya kikauzu?

Mimi Ni Vaisivesa Ya Yote Hayo, Mfano Mda Wa Kupeana Ugwadu Huwa Sikai Kutizama Tv...Nakimbiliaga Chumbanh!
 
hahahaaaaaaaa kweli yamekukuta mwenzetu hebu jiangalie wapi na wewe unakosea, ongea nae taratibu ujue nini tatizo.

Namuomba Kunikosoa,Anasema Niko Poa,Yeye Akibadirika Ni Kwa Mda Tu..Mpaka Nimkumbushe Tena!
 
Sasa kama huwezi kuiacha K yako unatuka kukusaidie nini wakati uliomba ushauri.????

Mkuu! ushauri Wenu Ninazingatia, Ila Hatua Ya Mwanzo Ni Hiyo Ya Kuitetea K Ibaki Katika Kasri Yangu!
Ahsante!
 
Kuna wimbo unaema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.."pole mwanaume mwenzetu..najua umeshikwa hapo ila omba Mungu atakusadia..

tehetehe wot goes around come around,kumbe nanyi msipojaliwa inawaumaga,hakuna kitu napenda kwenye hii dunia kama kuona mwanume analalmika kama si kulia kwa kutendwa,
 

Ahsante Mkuu!
Naweza Nisitabasam Na Mtu Mwingne Lakin Si Mpenzi Wangu..Vilevile Najaribu Kuwa Na Hekima Ya Upole Kwa Mwenzangu!
...labda Naonekana Tofauti?...Itabidi Nilitafakari Hili!
 
Kuna wimbo unaema "ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo.."pole mwanaume mwenzetu..najua umeshikwa hapo ila omba Mungu atakusadia..

Ahsante Kiongozi!
Inauma Sana Aisee!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…