Nampenda Na Ni Wa Mda Mrefu Ila Kabadirika mwenzangu!
Ahsante!
Nampenda Na Ni Wa Mda Mrefu Ila Kabadirika mwenzangu!
Ahsante!
kwani wewe unaonesha mapenzi gani hata ya mwenzako uyaite ya kikauzu?
Mi Sipendi Huyu Mpenzi Ambae
Nikiwa Nae Anakaza, Ila Kwa Wengne Analegeza(full Kutabasam Na
Kujichekesha)!
Mpenzi Huyu Ambae Hataki Tule Pamoja(Mda Wa Chakula Ukifika Anajiweka
Bize Na Mambo Mengine!)
Mpenzi Wangu Huyu Nikirudi Kazini Yeye Anaendelea Na Soga Kibarazani Na
Shogaze(Hata Kuniangalia Hataki)
Mpenzi Wangu Huyu Ambae Hatofautishi Mda Wa Kubanjuana Na Mda Wa Kazi!!
Mpenzi Huyu Ambae Toka Niwe Nae Yeye Kazi Yake Kunibp Tu!
Mapenzi Gani Haya Jaman!!?...Aah!