Mapenzi ya Kibongo

..mambo yamebadilika sana. Tunapika, tunafua hadi pichu zao... labda maua tu, wadada wameshindwa kubeba hiyo tamaduni.
 
Umesahau moja hata umtilie vocha ya milioni katika simu yake hakuna asante na atabeep tu
 
..mambo yamebadilika sana. Tunapika, tunafua hadi pichu zao... labda maua tu, wadada wameshindwa kubeba hiyo tamaduni.

Umeona eeh!! Kupika ni wajibu kwa mumeo/ mpenzi Lakini sio kua unaumwa au yy siku akiamua hata Kama mzima anapika mpenzi pumzika, kulipa bill sawa atalipa Lakini sio siku zote ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…