Mapenzi ya huruma...

Hivi mtu alishawahi kutokewa na hii kitu yaani unapenda mtu kwa kumuonea huruma yaani humpendi ila huruma ila kutokana kumuonea huruma unamkubali tu?

Mapenzi ya huruma ni mapenzi hatari sana kamwe usije ukajaribu kumpenda mtu kwa sababu umemuonea huruma kwani mwisho wake ni mbaya sana

Na hapa ndipo asilimia kubwa ya wanaume Tunafeli mtu anajifanyq anamuonea huruma binti ana maisha magumu anamsomesha siku akipata kazi na kumuacha analiaa
 
Umeongea kweli kabisa--yapo na yanatokea--scenario unayoelezea imemtokea mtu wangu wa karibu kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…