Weewe mbona sijawahi kukuona ukimkumbatia naniliu hadharani??? Unasubrir kuku walalewakuu jana mida ya saa mbili usiku wakati natoka mazoezini nimekutana na couple kama mbili tofauti wakiwa wamekumbatiana na huku wakionyeshana mahaba mazito njiani,wazo likanijia kuwa hii sio mara ya kwanza kuona mapenzi yakipamba moto pindi giza linapoingia,hivi kwani haiwezekani mtu umkumbatie mpenzi wako kukiwa kweupe ili wote tuwaone?yale mapenzi ya gizani huwa yanakuwa ni ya kweli au ndio kuibiana?kwanini kama mtu unampenda usiuonyeshe umma kuwa mnapendana?
And ze sred iz clozedMleta maada, swali lako lilikuwa kukumbatiana gizani ama kufanya mapenzi gizani? Maana ni hatua mbili tofauti hizo, ila zinafatana!
Nauliza hivyo, kwa kuwa nimeona hapo juu ukiliboresha swali lako, ya kuwa, 'mbona harusi na ndoa tunafanyia nuruni?'
Mimi nilikuelewa kukumbatiana gizani, na jibu langu kwa swali la maada yako ni, MACHO / AKILI YA / ZA MWANADAMU YANA / ZINA MENGI TUSIYOJUA NA TAFSIRI ZAKE. Zaidi ya yote, sisi ni Binadamu, tuna Hulka Na Utashi, maalumu kututofautisha na Wanyama. Mazingira pia. Mf; siku zote tendo la kukumbatia linaambatana na mikono kama siyo vidole kusambaa sehemu tofauti (kukumbatiana wapenzi, na siyo ndugu, shemeji, wazazi). Sasa muyafanye hayo hadharani kweli, tena sisi Waafrika? NO KUBWA!
Naamini nimejitahidi kujibu nami.
Ahsante!
Ulichokipost jkwaa la picha na ulichopost hapa vinaeleza kabisa kwamba uko kundi gani..Wakuu,
Jana mida ya saa mbili usiku wakati natoka mazoezini nimekutana na couple kama mbili tofauti wakiwa wamekumbatiana na huku wakionyeshana mahaba mazito njiani. Wazo likanijia kuwa hii sio mara ya kwanza kuona mapenzi yakipamba moto pindi giza linapoingia.
Hivi kwani haiwezekani mtu umkumbatie mpenzi wako kukiwa kweupe ili wote tuwaone? Yale mapenzi ya gizani huwa yanakuwa ni ya kweli au ndio kuibiana? Kwanini kama mtu unampenda usiuonyeshe umma kuwa mnapendana?