Mapenzi ya dhati

Mwanaume akigundua mschana alikuanae ni bikra, huwa anaonesha upendo kupitakias pengine hata kumuoa kabisa.

Je kwa waschana inakuaje pale wanapogundua kuwa jamaa hajawai kudaty b4, uar the first girl.

Mmh...binafsi ntashangaa,na nitamsifia pia (kama ni kweli), otherwise kwa siku hizi sidhan kama kuwa virgin ni kitu ambacho ni ishu kwa kweli.. Watu wana criteria zao kibao..
 
Utamtambuaje mwanaume kama ni virgin? kwa maneno tu?
 
hivi jk keishamaliza ziara yake mkoani dodoma?
 
Bikira na mapenzi ya kweli havina uhusiano wowote
 
Bikraaa arrgahhh yaani aanze kutetemeka kwa uwoga, mie bora mzoefu, learner hata simtaki
 
kupenda hakusababishwi na bikra peke yake..... kuna mengi watu wana consider kabla ya ku fall in love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…