Mapenzi Vs usafi

Mapenzi Vs usafi

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,453
Kipi bora upate mke msafii anaejua kusafisha nyumba na kutunza mazingira lakini kitandani mvivu,au upate mke mtundu kitandani 100% na anajua kupika balaa ila linapokuja suala la usafi ni 0 hajui hajui kutandika kitanda wala kudeki nyumba.....
 
Bora wa 2,usafi nitamsaidia.Roho iridhike kuliko kwenda njee kupata satisfication
 
Kipi bora upate mke msafii anaejua kusafisha nyumba na kutunza mazingira lakini kitandani mvivu,au upate mke mtundu kitandani 100% na anajua kupika balaa ila linapokuja suala la usafi ni 0 hajui hajui kutandika kitanda wala kudeki nyumba.....

Hili huwa linafunika mabaya yote, hata kama anasura kama anakamua kinyesi lakini atapendwa kwa ajili ya hapo, mengine tunavumiliana tu, na yanavumilika, hata nyumba duchu unasahau.
 
Mambo ya uziguani hayo....siku hizi zile ndude haziwekwi tena kwenye kisosa zabebwa kwa ulimi....
 
Aa wapi!
Kwangu nataka sifa hizo mbili awenazo zote! Na ikikosekana moja tu hapo sioi!!!
 
ukishampenda mtu huoni kasoro zake,ikilazimu zionekane ni katka mtizamo positive na wa kurekebishana!
 
Mambo ya uziguani hayo....siku hizi zile ndude haziwekwi tena kwenye kisosa zabebwa kwa ulimi....

Umeona sasa, mwanamke anasifiwa kwa mambo ya 6*6 sio sura hata mbuzi ana sura mbona
 
Kazi ya mke ni kufanya usafi?Ndiyo maana ndoa zenu masharobaro hazidumu!
Bible inasema "nendeni mkaijaze dunia"na hakuna sehemu maandiko yanasema" enenda mwanamwali ukaolewe kwa sababu ya kufanya usafi"
 
We vipi hiyo dunia utaijaza kwenye mazingira machafu? ndio maana mnazaa mazezeta kwa kupanda mbegu majalalani.
 
am training kuwa namba 2,deki atapiga housegirl
 
Back
Top Bottom